Waziri Bashe tambua wewe ndiye Yusufu wa Biblia, tafadhali usimpotoshe mfalme

Mbona George Floyd aliuwawa kama mwizi?
Mkuu Floyd ni [emoji631] huko wana bunduki million 400 na population ni 333m
Huoni kuna tatizo hapo?

[emoji636] hapa tunaongelea hakuna bunduki za kutapakaa na mimi nimekaa miaka yote hiyo ni mara mbili tu nimeshuhudia discrimination lakini nilikuwa mkali na kutishia kuita police mpaka akaomba msamaha

[emoji631] ni pabaya sana mkuu ubaguzi kila mahali na Blacks ingawa wanaonewa kwa kukosa ajira nzuri na kuwa na maisha duni ila na wao police wakiingia kwenye 18 zao wanauwawa
Hapo imekuwa paka na panya tu

[emoji636] ni tofauti sana heshima ipo kama unafuata mambo yako
Hawa wanakuwa wabaya wakilewa tu Sasa mimi na pombe wapi na wapi hata Pub siendi
 
Mkuu utanifanya nizamie,ila kuna mshikaji mmoja ameniambia Malaysia pia kuna kazi za kutosha.
Mkuu nakushauri upambane uingie huku na maisha ni mazuri sana kama utajiwekea malengo yako ya kutaka kuja na kutengeneza hela za haraka hata miaka 5 (kama umri bado mdogo)

Unapambana haswa na kuchapa kazi sana at least unajiwekea million Tatu au zaidi kwa mwezi kama huna familia unaweka mpaka 4m sasa kama umesoma ndio kabisa unavuna tu

Asikuambie mtu baba maisha ni magumu ila kuna raha yake kama unajiwekea akiba

Holiday utaenda hata CopaCabana beach ni kama unaenda morogoro tu

Kuhusu Malaysia sijui sana mkuu nilienda kutembea tu zamani
 
Tena huko ndiko kwenye Wanawake wazuri Duniani.

Mkuu uliwahi kwenda huko Rio?
[emoji38] [emoji23] nilijua ute utakutoka

Sijawahi ila ntaenda mwakani
Nilienda Havana mwaka 1990
Napenda sana kusafiri mkuu
Ndio hobby yangu
 
[emoji38] [emoji23] nilijua ute utakutoka

Sijawahi ila ntaenda mwakani
Nilienda Havana mwaka 1990
Napenda sana kusafiri mkuu
Ndio hobby yangu
Aisee umebarikiwa sana,sisi huku tuaishi kama Mifugo ya Ccm, ukienda mbele tozo ukirudi nyuma tozo.

Mungu tu ndio atatunusuru.
 
Hata Yusuf hakufunga mipaka ndo maana aliweza kuwaokoa ndugu zake, kwa sababu hiyo Bashe naye hatafunga mipaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…