Waziri Bashe tambua wewe ndiye Yusufu wa Biblia, tafadhali usimpotoshe mfalme

Waziri Bashe tambua wewe ndiye Yusufu wa Biblia, tafadhali usimpotoshe mfalme

Mkuu hii Passport yetu ya Bongo ninaweza kupenya?
Inawezekana kwa njia sahihi ila sio za mkato
Sasa wamekuwa wagumu mno na hivi wahindi wameshika ndio kabisa wanataka wakimbizi wapelekwe kwa kagame haha
 
Sasa wamekuwa wagumu mno na hivi wahindi wameshika ndio kabisa wanataka wakimbizi wapelekwe kwa kagame haha
Nimeona Watu wa kila aina Wahindi Waarabu Waafrika Waajemi wakifa maji na baridi kwa sababu ya kwenda Uingereza.

Swali langu, wewe umekaa huku na huko ni kitu gani cha ajabu kilicho huko Majuu?
 
Nimeona Watu wa kila aina Wahindi Waarabu Waafrika Waajemi wakifa maji na baridi kwa sababu ya kwenda Uingereza.

Swali langu wewe umekaa huku na huko ni kitu gani cha ajabu kilicho huko Majuu?
Mkuu wanaokuja kwa kujilipua hivyo sio wakimbizi bali ni watafutaji wa maisha tu

Hakuna cha ajabu bali wakifanikisha wanapewa nyumba, child support na benefits kibao kama matibabu na elimu bure
Pia kazi zipo nyingi na usalama upo kama hujajihusisha na ujinga kama drugs na ukevi
 
Waingereza taifa kubwa kabisa wamemuweka muhindi ndio Waziri Mkuu wa Nchi kubwa kabisa Duniani iliyotawala karibu nusu ya Dunia.
Huwa siamini katika kujilinganisha kwa kila kitu.
Wao mifumo yao iko njema, huku kwetu muweke huyo mhindi kama haijawa colony la india.
Huko uingereza anaweza akaa hata mwezi akatimuliwa huku inawezekana!?
 
Hakuna cha ajabu bali wakifanikisha wanapewa nyumba, child support na benefits kibao kama matibabu na elimu bure
Nimeelewa ndio maana wako razi kufa au kufanikisha.

Sasa wakipelekwa Rwanda wanaweza kupiga kunyaza kweli hao Waafghani?
 
Nimeelewa ndio maana wako razi kufa au kufanikisha.

Sasa wakipelekwa Rwanda wanaweza kupiga kunyaza kweli hao Waafghani?
Mkuu huu mpango wa Rwanda ulikuwa wa aliekuwa waziri wa mambo ya ndani Priti Patel ambae hata baba yake alikuwa mkimbizi toka India

Tamaa tu za upigaji na roho mbaya eti wakiingia tu na boat wakamatwe watupwe Kigali

Tangu wameanza haya maneno na kuweka fungu la hela wamepelekwa labda 19 tu

Na sasa bajeti tena wakaweka kiasi kikubwa cha hela tena
Sasa wizara tena kapewa Suella asili ya kihindi ndio tunasubiri jioni hii anaongea na wabunge wote kuhusu mpango wake wa Rwanda nae (tuone)

Sidhani kama atakaa sana maana wamemsimamia haswa

Ila Wa Albanian ndio kiboko yaani 2% ya wanaume wao wameingia hapa kwa Boat shocking huh

Afghanistan ni wachache sana
Ila wengi wanarudishwa kwao kama hakuna vita
 
Nasikia hata wazazi wa Sunak wametokea Ilula njia ya Hungumalwa.
Haha mmoja Kenyan mwingine tanzanian
Hata Suella baba na mama wametokea Kenya and Mauritius ila asili yao wahindi pia
Uzuri serikali yetu huku haina Ubaguzi wa rangi ingawa baadhi ya wananchi wapo wabaguzi ila serikali haina upumbavu huo

Ukiomba kazi popote hata uwe kilema hawana ubaguzi la sivyo ni kosa la jinai

Sasa angalia Sunak anavyotetewa na serikali
 
Huwa siamini katika kujilinganisha kwa kila kitu.
Wao mifumo yao iko njema, huku kwetu muweke huyo mhindi kama haijawa colony la india.
Huko uingereza anaweza akaa hata mwezi akatimuliwa huku inawezekana!?
Kwakweli !!
 
Tuombe Mungu sana hatujui wanaandaa nini hawa watu yaani Dunia wanaipenda na wanataka waitawale wanavyotaka wao

Dunia ya leo sio ya zamani siku hizi vijana unaongea nao kwa unyenyekevu hata wakikosa maana wamekuwa wakali na akili zao zinawatosha wao ndio maana bado kuna wazee kwenye serikali nyingi ili kuwapooza vijana

Angalia Iran msichana kaamua kutembea huku nywele kidogo zikionekana ila kichapo alichokipata mpaka kafa

Angalia sasa madhara yake, vijana hawasikii wameliamsha wasichana wamechoma Hijab zote

Imagine hao kesho watuongoze, tutashuhudia mambo mengi mabaya
Kabisa kabisa !! 👍
 
Mkuu wanaokuja kwa kujilipua hivyo sio wakimbizi bali ni watafutaji wa maisha tu

Hakuna cha ajabu bali wakifanikisha wanapewa nyumba, child support na benefits kibao kama matibabu na elimu bure
Pia kazi zipo nyingi na usalama upo kama hujajihusisha na ujinga kama drugs na ukevi
Na ukishakuwa mzee utatunzwa mpaka mwisho wa maisha yako !! Bongo unapewa kadi ya wazee ya kutibiwa bure lakini ukienda Hospitali wanaanza tena kukuuliza maswali ya kidhalilishaji kwenye dawati lao ! Eti unapewa chakula na nani? Nani anakulipia kodi ya nyumba ? Kwani huna watoto ?? Na maswali mengine kibao ! Sasa kulikuwa na haja gani ya kumpa huyo mzee hiyo kadi. ?? Bado tupo mbali sana!! Na roho zetu ni mbaya sana !!
 
Back
Top Bottom