imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mwaka huu Wagogo watarudi kula Viwavi jeshi, Matembele yatakuwa anasa.Hatarii !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu Wagogo watarudi kula Viwavi jeshi, Matembele yatakuwa anasa.Hatarii !!
[emoji38] [emoji23] [emoji38]Niliona kwenye FB akitukanwa na Raia wa Kiingereza mwenye asili ya West Indies daah!!
Jamaa anasema wao ndio wageni wa kwanza Uingereza wao ndio wangechaguliwa u PM kwani Waasia wameenda juzi juzi.
Kwani Bashe anakataa?Bashe ni Msomali hilo halina ubishi.Sunak ni Mhindi hajawahi kukataa.
Tena ndio wanastahili kwasababu ya kufanyishwa kazi bure na kupigwa mijeledi.Sasa wao west Indies walikuwa watumwa
Kama kutakuwa na njaa labda serikali itanunua tena chakula kutoka njeTunajiandaaje ?? Tujulisheni tunafanyaje. ?
Labda hawajishughulishi zaidi kwenye siasaTena ndio wanastahili kwasababu ya kufanyishwa kazi bure na kupigwa mijeledi.
Marcus Rashford agombanie ubunge.
[emoji38] [emoji23] [emoji38]Bashe hawezi kuwa Yosefu,kweni Yosefu nae alikuwa anatafuna Mirungi?.
Siwezi kushangaa kwani ni uungwana kusaidia wanaohitajiNasikia chakula kingi kinapelekwa somalia sasa
Ni jambo jema...Hata tukilala njaa ila tunasaidia majirani ni sawa...tunapata mibarakaSiwezi kushangaa kwani ni uungwana kusaidia wanaohitaji
Hata Jakaya Kikwete wakati wake alituma 300 metric tons of maize [emoji535]
Somalia wana njaa sana kwa sasa kuliko wakati wowote na wanahitaji msaada
Mkuu ukiambiwa uwasaidie utakataa?
Nakumbuka kisa cha yusuf.u wa bibilia kule misri ambapo mfalme aliota ndoto ile ambayo ilimshinda tafsiri,baada ya ndoto ile kujirudiarudia ndipo kukaonekana haja ya kumpata mtu atakae weza kuitafsiri.
Tafsiri ya yusuf.u ilibaini kwamba kutakuwa na miaka mitatu ya neema sana ambapo yusufu akatahadharisha kwamba wanapaswa kuhifadhi Chakula chakutosha.
Kadhalika yusuf.u akawatahadhirisha kwamba baada ya miaka mitatu ya neema yenye mavuno mengi,miaka mitatu inayofuatia itakua ni ukame na hakutakuwa na mavuno kabisa.
Hivyo yusuf.u akamwambia mfalme ya kwamba ahakikishe anahifadhi Chakula kitakachotosheleza mahitaji ya nchi kwa miaka sita jumla,yaani miaka mitatu ya neema+miaka mitatu ya ukame.
Bashe wewe ndiye yusuf.u wa leo ambae mh raisi amekuamini lakini kwa bahati mbaya ni yusufu ulienyimwa maono.
Waziri TMA wanaendelea kutoa tahadhari juu ya mwenendo mbaya wa hali ya hewa lakini chaajabu bado umeendelea kushupaza shingo kwamba hatufungi mipaka nchi inaziada ya Chakula.
Kama mamlaka ya hali ya hewa wanatahadharisha msimu ujao kutakua na shida ya mvua,mwakani utakusanya wapi hio hifadhi ya taifa ya chakula?
Hii hifadhi ya Chakula hizi tani 150,000 unazojigamba nazo kwamba zinauwezo wakutosheleza nchi kwa miezi mitatu,hivi zinaweza fua dafu kwa nchi yenye watu 60 ml?
Waziri, tofautisha Mafuta ya kula na mahindi,mahindi ni Chakula watu wanateseka Sana kwa huu mfumuko wa bei kwa sasa.
Mafuta ya kula unaweza fanya hizi control zako ili ulinde wakulima na viwanda vya ndani kwani hili ni zao la biashara lakini kufanya haya kwenye mahindi ilihali TMA wanatahadharisha ukame kwenye msimu ujao,tambua unahatarisha usalama wa nchi.
Raisi muangalie huyu waziri usifuate kila anachoshauri ataligarimu taifa,kumbuka njaa haina mbadala.
Asante.
Mpk 4000 Sasa hiviMandondo tsh 3800
[emoji10][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]anabebwa na weusiKama Sunak eti?
Mtakalia ubaguzi na maendeleo hakuna
Wewe andika majina ya babu zako watatu hapa walitokea wapi
Najua hata wewe sio mtz asili bali unabebwa na weusi [emoji38]
Anajifichia humo [emoji1] [emoji1787][emoji10][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]anabebwa na weusi
Hivi yule Kwessi Kwarteng ana asili ya Windies?Labda hawajishughulishi zaidi kwenye siasa
Wahindi wako clever mno wameingia kila mahali na uchumi wao ndio wameushika kwa asilimia kubwa
Doctors and nurses wengi sana ni wao, dentists mpaka kwenye nyumba zao binafsi wamewafungulia wanao baada ya kuhitimu
Pharmaceutical companies wao na pharmacy zao pia
Biashara nyingi sana na Wholesalers ni wao
Yuko jamaa mmoja alikuja [emoji636] ana miaka 13 namjua vizuri alikuwa anafanya kazi insurance company baadae akafungua B&B karibu na Heathrow kusaidia wafanyakazi wa Airport wakiishi hapo
Leo jamaa ni Billionaire anaitwa Arora
Wahindi ni wachapa kazi sana asikuambie mtu na wanaendelea sana kwa sababu hata waibe namna gani, hawathubutu kukwepa kodi hapa maana wanajua mziki wake
Ni kufilisiwa kabisa na kutokuaminiwa popote
Sasa hao west Indies hawapo wengi hapa ndio maana wanazidiwa.
Wao walime Mirungi, sisi tulime Nafaka, halafu tuwasaidie?Ni jambo jema...Hata tukilala njaa ila tunasaidia majirani ni sawa...tunapata mibaraka
Wakilima nini ndio inapaswa tuwasaidie?Wao walime Mirungi, sisi tulime Nafaka, halafu tuwasaidie?