Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Tuombe Mungu sana hatujui wanaandaa nini hawa watu yaani Dunia wanaipenda na wanataka waitawale wanavyotaka waoHizi ni dalili za kuashiria kitu kikubwa cha maangamizi kinaenda kutokea katika hii Dunia. !! Je ni Third World War ? + Nuclear [emoji3518] ?!! Tuombe Mungu wa mbinguni atuepushie mbali hili janga. !
Dunia ya leo sio ya zamani siku hizi vijana unaongea nao kwa unyenyekevu hata wakikosa maana wamekuwa wakali na akili zao zinawatosha wao ndio maana bado kuna wazee kwenye serikali nyingi ili kuwapooza vijana
Angalia Iran msichana kaamua kutembea huku nywele kidogo zikionekana ila kichapo alichokipata mpaka kafa
Angalia sasa madhara yake, vijana hawasikii wameliamsha wasichana wamechoma Hijab zote
Imagine hao kesho watuongoze, tutashuhudia mambo mengi mabaya