Waziri Bashe: Tutailazimisha Benki Kuu kuipa upendeleo Benki ya Ushirika

Nakubaliana na wewe, jamaa anajua anachofanya na yuko very passionate.
 
Bashe aache usanii juzi tu hapa amejitokeza hadharani kukubaliana na ushauri wa Mpina kuhusu Mfumo wa uagizaji wa mbolea ambao bungeni aliwambia wabunge kuwa Mpina anapotosha na hili nalo bomu lingine linakuja kulipuka atarudi tena kukubaliana na Mpina badala ya kuongeza wigo kwa TADB wewe unazungumzia kuanzia benki ya Ushirika tena kwa kuishinikiza BOT ifanye unavyotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…