Pre GE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.

View attachment 2884613

Ameuchoka uwaziri huyu.Makonda ndio amerejesha Imani ya watu Kwa ccm harafu Bashe anasemaje?

Chama ni Bora kuliko Bashe.
 
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.

View attachment 2884613
namfahamu Bashe personally...haendeshwi ana imani ngumu sana nadhan na usomali wake umechangia ...You Go Bashe
 
Kiserikali Bashe yuko sahihi... lakini ukiangalia aina ya mfumo wetu, viongozi wa chama bado ni wakubwa kwa Bashe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…