Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

Yeye ajenge tu,2025 aje mwingine aajiri wafanyakazi,yeye akope tu ajenge.
 
Yaleyaleeee.. sisi ni matajiri, mara utasikia tutampata wapi Rais kama huyu mara MUNGU amemleta!!! Unafiki, njaa na uchawa ndio unatufanya wabongo tushindwe kusimamia reality!!!
 
Nilifikili kuna suala la msingi sasa hayo magofi bila watumishi mnasaidia nini
Una akili timamu? Kwa hiyo unaajiri watumishi bila kujenga πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Hata ifike 2025 usipokuwa hospital wewe utakuwa imepigwa na stroke kwa wivu na chuki
 
Professional neurosurgeon

With MpH

Endelea kuongelea upumbavu na vibando vyako vya kuhongwa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Neurosurgeon ya kwenye buttocks ya dad yako labda..

Siku zako za kuishi ni chache Sana sio kwa chuki hizi,mark my words na usikute ni jobless 🀣🀣🀣
 
Wanakwambia mwanamke hawezi kuongoza nchi. Wanakaririshwa ujinga na wanauamini kabisa.
 
Samia ni Rais bora kuwahivkutokea Tanzania
 
Samia ni Rais bora kuwahivkutokea Tanzania
Huu ni ukweli mchungu na amedhamiria kuwapunguzia wamama/ wanawake na watoto madhila yao.

Amezipa msukumo Sana sekta ya Afya,maji,barabara Vijijini,mikopo kwa wanawake na elimu ya mtoto wa kike on top of kuwapa fursa mbalimbali Serikalini.
 
Nchi hii mijinga imejaaa!

Hivi..! kwa mikopo ile, wewe umgelishindwa?

Tunataka umeme panzi wewe!
 
Nchi hii mijinga imejaaa!

Hivi..! kwa mikopo ile, wewe umgelishindwa?

Tunataka umeme panzi wewe!
Single imebadilika πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†,kenge nyie mtapiga u turn Sana ,na wewe kakope ujenge kwani Samia ni WA kwanza Kukopa?

Mbona Dhalimu alikopa hatukuona cha maana alichofanyia?
 
Single imebadilika πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†,kenge nyie mtapiga u turn Sana ,na wewe kakope ujenge kwani Samia ni WA kwanza Kukopa?

Mbona Dhalimu alikopa hatukuona cha maana alichofanyia?
Zamu yenu mafisadi na wezi wa rasilimali zetu, wauza ngada na walaji wa kupitia urefu wa kamba zenu

pumbavu zako, tesa kwa huu muda mfupi, soon tutazikata hizo kamba na kuwatapisha kila mlichopora kwa wananchi
 

Jumbe Brown chawa mahiri kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…