Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

Stick kwenye hoja acha ujinga usio na faida.

Rekodi umeiona? Bado una doubt?

Mmeanza ule utapeli wa kijinga wa kupika data. Kipindi cha dhalimu mlikuwa mnasema kajenga viongozi viwanda 8,000+, kila tukiuliza viwanda viko wapi ni porojo tu.

Sasa ili ww kuweka udhibitisho wa hii porojo yako, tengeneza jedwali kuonyesha kituo cha afya kilipo, mtaa/kijiji, wilaya, na mkoa. Kisha weka gharama ya kituo husika na hatua ya ujenzi ilipofikia. Kinyume na hapo kadanganyeni mafamba.
 
Rubbish,data zipikwe kwa faida ya nani? Ili iwaje?
 
Rais Samia afanye bidii alete katiba mpya itakayo mpa Heshima.

Asipoleta katiba mpya ajue fika kuwa mazuri yote anayoyafanya hayatakumbukwa atakapokuja Rais wa awamu ya Saba Tena Toka ndani ya Chama Chake. Atakejeliwa na kupewa majina yote mabaya na ataambiwa hakufanya kitu zaidi ya kukumbatia mtandao wa mafisadi.
Atastaafu na kujikuta anakaa nyumbani huku akitukanwa Kwa kila Neno baya.
Katiba itaweka uhuru wa mahakama ambapo haki za kila mtu zitalindwa itakua sio rahisi kuibuka na kutoa kashfa Kwa mtu bila kuwa na ushahidi.

Kitu pekee kitakacho mpa Heshima kubwa ni kuiwekea TANZANIA MISINGI NA DIRA KUPITIA KATIBA YEMYE MIFUMO IMARA INAYOWACHUJA YENYEWE BILA KUTUMIA NGUVU KUBWA. Zaidi ya 80 % ya wakubwa kwenye idara mbalimbali hawana uwezo na ubunifu Kwa sababu walipatikana kinyeme na Demokrasia. Watu wanapaswa washindanishwe kwenye midahalo kama ile ya mchakato majimboni.
Hata upande wa Rais na Makamu wake wanapaswa wawekwe kwenye mdahalo. Zito ,Samia ,Lipumba,Hashim Rungwe Mbatia na Wakili wa kimataifa Tundu Lisu wakae kwenye meza ya mdahalo wahijiwe ili watanzania wajue nani ana historia ya kupambana na ufisadi na kutoa nafsi yake Kwa wanyonge.
Hii mambo ya kupeana nchi kama Fegi hayafai kwani yanatupa viongozi wasiofaa.

Hata hivyo tumpongeze anayewafichua wezi na kuwashughulikia sio kuwabeba na kuwafichia aibu zao.
Kwa Sasa hakuna wakosoaji ndani na nje ya bunge hivyo ni rahisi sana kuonyeshwa visarafu vilivyobaki kama chenji ili hali Kuna masandatusi ya fedha yanapotea.

Tusimsifie TU Mama Yetu na Rais wetu Bali pia tumulike wanaofanya chini ya kiwango. Watanzania wamejifunga mikanda kugharamikia maendeleo yao Kwa miaka 60 ya uhuru. Bado watu wanaonyesha majengo 336 ya Hospitali kuwa ni jambo la miujiza mikubwa.
Kuna Mbunge mmoja TU wa CCM Tena std vii anamiliki nyumba 500 alizozipata kupitia ujanja ujanja ndani ya Chama na serikali Kwa miaka isiyozidi 25. Huyo ni kada mmoja kwenye nchi maskini inayokopa mpaka pesa za kujenga vyoo vya shimo.

Magufuli alipambana sana na wezi kila sekunde japo walifanikiwa kumhujumu na kumdanganya kuwa adui zake ni wapinzani.
 
Rais hayuko hapo Ili aje kukumbukwa bali yupo hapo kwa ajili ya kutimiza wajibu wake kadiri ya fursa atakayopewa na Mungu full stop,hakuna biashara ya kufurahisha watu Ili wakupende..

Katiba mpya itaamuliwa kadiri itakavyoonekana inafaa.
 
Umeandika vitu muhimu sana kiongozi hongera sana kwako
 
Sina uhakika kama yuko visionary kiasi hicho, anachofanya ni short term solutions tuu na hizo hospital watu binafsi au halmshauri wangeweza kuzijenga wenyewe maana wanakusanya kodi ila zote zinaenda hazina badala ya kufanya kazi zilipokusanywa
 
Usipanick, tengeneza jedwali weka details za hivyo vituo vilipo ili kuniproove wrong. Kinyume na hapo kawalisheni mapeasant huko bush na watu waliopoteza ramani hizi porojo mfu.
Kwa sasa sitoweza kukupa ila mwezi ujao nitakupa orodha kwa sababu vitaonekana kwenye bajeti ya Tamisemi so wait utapata tuu ntavileta humu..

Screenshot_20220209-083411.png
 
Sina uhakika kama yuko visionary kiasi hicho, anachofanya ni short term solutions tuu na hizo hospital watu binafsi au halmshauri wangeweza kuzijenga wenyewe maana wanakusanya kodi ila zote zinaenda hazina badala ya kufanya kazi zilipokusanywa
Unajua hata unachoongea wewe kweli? Unaelewa hata jinsi serikali inavyofanya Kazi kweli wewe?

Nyie watu ni wakubwa wa miili na vichwa ila kichwani mumejaa uji.
 
Rais hayuko hapo Ili aje kukumbukwa bali yupo hapo kwa ajili ya kutimiza wajibu wake kadiri ya fursa atakayopewa na Mungu full stop,hakuna biashara ya kufurahisha watu Ili wakupende..

Katiba mpya itaamuliwa kadiri itakavyoonekana inafaa.
Katiba ndio muhimu lakini akili ndogo kama nyie hamuwezi kuelewa, endeleeni tuu kujenga matundu ya choo kwa mikopo
 
Katiba haileti ugali mezani, Vijijini kwenye wapiga kura hicho kipaombele cha chadema sio Chao kila mtu apambane na Hali yake.
 
Kwa sasa sitoweza kukupa ila mwezi ujao nitakupa orodha kwa sababu vitaonekana kwenye bajeti ya Tamisemi so wait utapata tuu ntavileta humu..

View attachment 2167512

Mwenzako jingalao alikuja na porojo kama zako za viwanda 100@mkoa kipindi cha dhalimu. Nilimwambia aweke jedwali kuonyesha hivyo viwanda vilipo, mpaka leo anaona aibu nikimgusia mambo ya viwanda. Na ww umejiunga hapa jukwaani kama moto wa kifuu mwisho wa mwaka jana, lazima tukulambishe mchanga. Ikifika mwezi tano siku ya mei mosi nitavuta huu uzi uweke hilo jedwali la hivyo vituo na vilipo. Hapo ndio utajua hujui.
 
Don't dare to compare Samia with Dhalimu,kila mtu anajua awamu ya 5 ilikuwa inapika Takwimu ndio maana haikuhitaji challenge..

Wewe kama una facts tofauti na hizi ziweke hapa.
 
Unasema idadi ya vituo nimekwamabia weka jedwali, unasema unasubiri list toka Tamisemi. Sasa kitu ambacho huna list unatoa wapi ujasiri wa kusema hampiki data?
 
Kwani hujaona source hapo juu? Hiyo ni kwa mujibu wa Bashungwa wa Tamisemi.
 
Back
Top Bottom