Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Stick kwenye hoja acha ujinga usio na faida.
Rekodi umeiona? Bado una doubt?
Mmeanza ule utapeli wa kijinga wa kupika data. Kipindi cha dhalimu mlikuwa mnasema kajenga viongozi viwanda 8,000+, kila tukiuliza viwanda viko wapi ni porojo tu.
Sasa ili ww kuweka udhibitisho wa hii porojo yako, tengeneza jedwali kuonyesha kituo cha afya kilipo, mtaa/kijiji, wilaya, na mkoa. Kisha weka gharama ya kituo husika na hatua ya ujenzi ilipofikia. Kinyume na hapo kadanganyeni mafamba.