Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

Sijaelewa hapa yaani milioni 150 zimejenga zahanati tatu za kisasa? Kwahiyo kila Zahanati ni milioni 50, mbona ni pesa kidogo sana?
Zahanati nyingi huanza kwa maboma ya wananchi na Serikali hutoa pesa za kumalizia.

Hata hivyo bajeti ya serikali Kwa dispensary moja ni shilingi milioni 250-300.
 
Tupeane hizi dili, kusifu na kuabudu pia tunaweza. Hali tete naomba kuingia chamani huko, 15,000 kwa siku si haba.
 
Single imebadilika [emoji38][emoji38][emoji38],kenge nyie mtapiga u turn Sana ,na wewe kakope ujenge kwani Samia ni WA kwanza Kukopa?

Mbona Dhalimu alikopa hatukuona cha maana alichofanyia?
Unacheka cheka, ngoja ushughulikiwe uondolewe hizo genye. 15,000 kwa siku unaona ndio maisha?. 24 hrs upo humu. Kuna wazazi walizaa funza.
 
Samia anahangaika na uchumi mkuu wa TZ, brazaj anahangaika na majibizano ya kisiasa ya kina Lipumba na huyo profesa wa chuo kikuu Dar.

Unayemwongelea ni huyu aliyekalia kiti kwenye bunge la katiba, akajizolea posho lukuki na leo miaka 8 baadaye hajui kwanini alichukua posho?



Huna hata neno la kumtaka azicheue pesa zetu?
 
Watangaze na ajira basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…