Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

Hivyo vituo vinajengwa mbinguni au

Tupe orodha
Mbinguni mkuu,wivu hautabadili ukweli 👇

Screenshot_20220328-114422.png


Screenshot_20220328-112822.png
 
Sijaelewa hapa yaani milioni 150 zimejenga zahanati tatu za kisasa? Kwahiyo kila Zahanati ni milioni 50, mbona ni pesa kidogo sana?
Zahanati nyingi huanza kwa maboma ya wananchi na Serikali hutoa pesa za kumalizia.

Hata hivyo bajeti ya serikali Kwa dispensary moja ni shilingi milioni 250-300.
 
Tupeane hizi dili, kusifu na kuabudu pia tunaweza. Hali tete naomba kuingia chamani huko, 15,000 kwa siku si haba.
 
Single imebadilika [emoji38][emoji38][emoji38],kenge nyie mtapiga u turn Sana ,na wewe kakope ujenge kwani Samia ni WA kwanza Kukopa?

Mbona Dhalimu alikopa hatukuona cha maana alichofanyia?
Unacheka cheka, ngoja ushughulikiwe uondolewe hizo genye. 15,000 kwa siku unaona ndio maisha?. 24 hrs upo humu. Kuna wazazi walizaa funza.
 
Samia anahangaika na uchumi mkuu wa TZ, brazaj anahangaika na majibizano ya kisiasa ya kina Lipumba na huyo profesa wa chuo kikuu Dar.

Unayemwongelea ni huyu aliyekalia kiti kwenye bunge la katiba, akajizolea posho lukuki na leo miaka 8 baadaye hajui kwanini alichukua posho?

IMG_20220328_113812_659.jpg


Huna hata neno la kumtaka azicheue pesa zetu?
 
Twende kwenye mada.

Unaweza mbeza na kumchukia na ukamfanya vyovyote unavyojiskia ila ukweli itabakia pale pale kwamba rekodi anazoweka mh.Rais SSH hazijawahi kuwekwa na Rais yeyote aliyemtangulia.

Afya ikiwa ni moja ya kipaombele chake, Serikali inajenga jumla ya vituo vya afya vipya zaidi ya 233 Kwa mpigo.

Hii ni sekta moja tuu ya Afya,ukienda sekta ya maji hivyo hivyo, barabara hasa za Tarura kote mambo ya bam bam.

Licha ya wenye chuki nae kuwa busy kutunga uongo na uzushi lakini ukweli wa kwenye Takwimu unambeba.

Mungu mbariki Rais wetu,huyu sasa ndio anafaa aongoze hadi achoke kama Angel Markel.

Kazi iendelee [emoji116]

View attachment 2167103

View attachment 2167106

View attachment 2167107
Watangaze na ajira basi
 
Back
Top Bottom