jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Hivyo vituo vinajengwa mbinguni au
Tupe orodha
Tupe orodha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwee mode tupumzishieni
Mbinguni mkuu,wivu hautabadili ukweli 👇Hivyo vituo vinajengwa mbinguni au
Tupe orodha
Njoo basi uongelee huku kwetuHasira zako zinaihusu vipi serikali? Jinyonge tuu hasira zitaisha.
Kwenu wapi hakuna jina?Njoo basi uongelee huku kwetu
Sijaelewa hapa yaani milioni 150 zimejenga zahanati tatu za kisasa? Kwahiyo kila Zahanati ni milioni 50, mbona ni pesa kidogo sana?
Zahanati nyingi huanza kwa maboma ya wananchi na Serikali hutoa pesa za kumalizia.Sijaelewa hapa yaani milioni 150 zimejenga zahanati tatu za kisasa? Kwahiyo kila Zahanati ni milioni 50, mbona ni pesa kidogo sana?
Nakupm locationKwenu wapi hakuna jina?
Hakuna jina huko kwenu?Nakupm location
Rekodi ya zamani ni vituo vya afya 104 kwa miaka 6,alihusika MwendazakeKwani rekodi ya zamani ilikuwaje na nani alihusika?
Ingia tuu kadi ziko kwa wajumbe kachangamkie fursa.Tupeane hizi dili, kusifu na kuabudu pia tunaweza. Hali tete naomba kuingia chamani huko, 15,000 kwa siku si haba.
Unacheka cheka, ngoja ushughulikiwe uondolewe hizo genye. 15,000 kwa siku unaona ndio maisha?. 24 hrs upo humu. Kuna wazazi walizaa funza.Single imebadilika [emoji38][emoji38][emoji38],kenge nyie mtapiga u turn Sana ,na wewe kakope ujenge kwani Samia ni WA kwanza Kukopa?
Mbona Dhalimu alikopa hatukuona cha maana alichofanyia?
Rudi kujadili hoja sio kuleta vioja hapa.Unacheka cheka, ngoja ushughulikiwe uondolewe hizo genye. 15,000 kwa siku unaona ndio maisha?. 24 hrs upo humu. Kuna wazazi walizaa funza.
Huyu alikuwa Cuf enzi hizo?Rekodi ya zamani ni vituo vya afya 104 kwa miaka 6,alihusika Mwendazake
Samia anahangaika na uchumi mkuu wa TZ, brazaj anahangaika na majibizano ya kisiasa ya kina Lipumba na huyo profesa wa chuo kikuu Dar.
Okay! Kumbe hicho ni kianzio, hapo sawa nimekuelewa.Zahanati nyingi huanza kwa maboma ya wananchi na Serikali hutoa pesa za kumalizia.
Hata hivyo bajeti ya serikali Kwa dispensary moja ni shilingi milioni 250-300.
Samia anahangaika na uchumi mkuu wa TZ, brazaj anahangaika na majibizano ya kisiasa ya kina Lipumba na huyo profesa wa chuo kikuu Dar.
Watangaze na ajira basiTwende kwenye mada.
Unaweza mbeza na kumchukia na ukamfanya vyovyote unavyojiskia ila ukweli itabakia pale pale kwamba rekodi anazoweka mh.Rais SSH hazijawahi kuwekwa na Rais yeyote aliyemtangulia.
Afya ikiwa ni moja ya kipaombele chake, Serikali inajenga jumla ya vituo vya afya vipya zaidi ya 233 Kwa mpigo.
Hii ni sekta moja tuu ya Afya,ukienda sekta ya maji hivyo hivyo, barabara hasa za Tarura kote mambo ya bam bam.
Licha ya wenye chuki nae kuwa busy kutunga uongo na uzushi lakini ukweli wa kwenye Takwimu unambeba.
Mungu mbariki Rais wetu,huyu sasa ndio anafaa aongoze hadi achoke kama Angel Markel.
Kazi iendelee [emoji116]
View attachment 2167103
View attachment 2167106
View attachment 2167107