Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

Hospital unaendaga peke yako? Ingekuwa hivyo usingekuta wagonjwa wamejaa hospital za serikali,wangeenda private.

Acha utoto wewe kwa sababu za chuki zako
Mara nyingi sipendagi kubishana asiyefikiria nje ya BOX!
Unashinda kwenye mitandao unasifia sifia kitu ambacho hakipo?
Ina maana vituo vya afya kajenga vyamakuti?
Mwambie mawaziri wake waaje na story za blackadabla! Miradi aliyo anzisha Magu itawashinda!
 
Unaongea ujinga na utoto yaani mlenda unachanganya na pilau,utakuta na wewe unajiita msomi usieweza hata kujenga hoja.

Endelea kuota,itamshinda utaiweza wewe ila ndio ujue sasa kwamba kajenga vituo vya afya 233 kwa mwaka mmja,Mumeo Mwendazake alijenga 104 kwa miaka 6.
 
Wewe ambaye ni msomi tupe tathmini ya gharama ya kituo kimoja!
Mbona miradi ya maana imekwama?
Hapa kwetu hospitali ya wilaya imekwama!
 

Umelipwa/Unalipwa kiasi gani !.
 
Eti Rais Samia anajenga!!!!?? Stupeed!
 
Wewe ambaye ni msomi tupe tathmini ya gharama ya kituo kimoja!
Mbona miradi ya maana imekwama?
Hapa kwetu hospitali ya wilaya imekwama!
Ipi hiyo miradi ya maana iliyokwama?

Mil.400-500..

Kama mlituambia Mwendazake amejenga mahospital ya Wilaya iweje hiyo yenu ikwame? πŸ˜‚πŸ˜‚.

Anyway kwa kukusaidia ni kwamba hospital hazijengwi kwa pesa kidogo bali zinajengwa kwa zaidi ya bil.1.5 hivyo kila mwaka serikali hutenga kiasi cha pesa hadi kuja kukamilisha hiyo miradi.

Unaweza soma maelezo ya Ummy hapa chini Kuhusu ujenzi unaendelea.

 
Pumbavu kabisa, kwamba kaozesha Binti yake ndio kapata pesa ya kujenga hayo majengo yasiyo na huduma??
 
Pumbavu kabisa, kwamba kaozesha Binti yake ndio kapata pesa ya kujenga hayo majengo yasiyo na huduma??
Hii inakusaidia nini sasa wewe? Ndio kajenga iwe kwa kuozesha au kwa tozo au mkopo kajenga na Watanzania wanufaika watampigia kura.

Nyie wapuuzi wa mjini mna alternative nyingi kwa hiyo endeleeni kupiga Domo.
 
Itoshe tu kusema anayekufira bado hajakufikisha kileleni.
 
Takwimu haina maana? Ndiyo sababu tulikuwa tunapigishwa nyungu, Corona ilikuwa vita na chanjo ni upigaji.

Ile idara ya takwimu za serikali kumbe ni ya nini basi?

Endeleeni kujidanganya.
Elewa vitu kabla ya kujifanya mjuaji.
 
Sina maliza kusoma il navyo soma nakumbuka ma neno ya Mugabe unaishukuru bank kwa kujenga atm machine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…