Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

Hospital unaendaga peke yako? Ingekuwa hivyo usingekuta wagonjwa wamejaa hospital za serikali,wangeenda private.

Acha utoto wewe kwa sababu za chuki zako
Mara nyingi sipendagi kubishana asiyefikiria nje ya BOX!
Unashinda kwenye mitandao unasifia sifia kitu ambacho hakipo?
Ina maana vituo vya afya kajenga vyamakuti?
Mwambie mawaziri wake waaje na story za blackadabla! Miradi aliyo anzisha Magu itawashinda!
 
Unaongea ujinga na utoto yaani mlenda unachanganya na pilau,utakuta na wewe unajiita msomi usieweza hata kujenga hoja.

Endelea kuota,itamshinda utaiweza wewe ila ndio ujue sasa kwamba kajenga vituo vya afya 233 kwa mwaka mmja,Mumeo Mwendazake alijenga 104 kwa miaka 6.
 
Wewe ambaye ni msomi tupe tathmini ya gharama ya kituo kimoja!
Mbona miradi ya maana imekwama?
Hapa kwetu hospitali ya wilaya imekwama!
 
Twende kwenye mada.

Unaweza mbeza na kumchukia na ukamfanya vyovyote unavyojiskia ila ukweli itabakia pale pale kwamba rekodi anazoweka mh.Rais SSH hazijawahi kuwekwa na Rais yeyote aliyemtangulia.

Afya ikiwa ni moja ya kipaombele chake, Serikali inajenga jumla ya vituo vya afya vipya zaidi ya 233 Kwa mpigo.

Hii ni sekta moja tuu ya Afya,ukienda sekta ya maji hivyo hivyo, barabara hasa za Tarura kote mambo ya bam bam.

Licha ya wenye chuki nae kuwa busy kutunga uongo na uzushi lakini ukweli wa kwenye Takwimu unambeba.

Mungu mbariki Rais wetu,huyu sasa ndio anafaa aongoze hadi achoke kama Angel Markel.

Kazi iendelee 👇

View attachment 2167103

View attachment 2167106

View attachment 2167107

Umelipwa/Unalipwa kiasi gani !.
 
Eti Rais Samia anajenga!!!!?? Stupeed!
 
Wewe ambaye ni msomi tupe tathmini ya gharama ya kituo kimoja!
Mbona miradi ya maana imekwama?
Hapa kwetu hospitali ya wilaya imekwama!
Ipi hiyo miradi ya maana iliyokwama?

Mil.400-500..

Kama mlituambia Mwendazake amejenga mahospital ya Wilaya iweje hiyo yenu ikwame? 😂😂.

Anyway kwa kukusaidia ni kwamba hospital hazijengwi kwa pesa kidogo bali zinajengwa kwa zaidi ya bil.1.5 hivyo kila mwaka serikali hutenga kiasi cha pesa hadi kuja kukamilisha hiyo miradi.

Unaweza soma maelezo ya Ummy hapa chini Kuhusu ujenzi unaendelea.

Screenshot_20220329-160932.png
 
Pumbavu kabisa, kwamba kaozesha Binti yake ndio kapata pesa ya kujenga hayo majengo yasiyo na huduma??
 
Pumbavu kabisa, kwamba kaozesha Binti yake ndio kapata pesa ya kujenga hayo majengo yasiyo na huduma??
Hii inakusaidia nini sasa wewe? Ndio kajenga iwe kwa kuozesha au kwa tozo au mkopo kajenga na Watanzania wanufaika watampigia kura.

Nyie wapuuzi wa mjini mna alternative nyingi kwa hiyo endeleeni kupiga Domo.
 
Bora mimi nilishikwa wewe utakuwa uliolewa kabisa..

Ulivyo jaa usaha kichwani huyo Magufuli wako alikuta hapa Tanzania hakuna mipango ya kujenga hayo uliyoyaeleza na hakukita hizo hospital za Kanda na vituo vya afya hivyo alianzisha na kujenga yeye sio ? 😂😂😂 Fala wewe mwenye chuki.

Tunarudi kwenye Takwimu Samia amejenga vituo 233 kwa mwaka 1, haya wewe usiye na Chuki tueleze miaka 6 ya Mwendazake alijenga vituo vingapi?
Itoshe tu kusema anayekufira bado hajakufikisha kileleni.
 
Takwimu haina maana? Ndiyo sababu tulikuwa tunapigishwa nyungu, Corona ilikuwa vita na chanjo ni upigaji.

Ile idara ya takwimu za serikali kumbe ni ya nini basi?

Endeleeni kujidanganya.
Elewa vitu kabla ya kujifanya mjuaji.
 
Sina maliza kusoma il navyo soma nakumbuka ma neno ya Mugabe unaishukuru bank kwa kujenga atm machine
 
Back
Top Bottom