Justard zelphine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 374
- 207
Mara nyingi sipendagi kubishana asiyefikiria nje ya BOX!Hospital unaendaga peke yako? Ingekuwa hivyo usingekuta wagonjwa wamejaa hospital za serikali,wangeenda private.
Acha utoto wewe kwa sababu za chuki zako
Unashinda kwenye mitandao unasifia sifia kitu ambacho hakipo?
Ina maana vituo vya afya kajenga vyamakuti?
Mwambie mawaziri wake waaje na story za blackadabla! Miradi aliyo anzisha Magu itawashinda!