Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

Sina uhakika kama yuko visionary kiasi hicho, anachofanya ni short term solutions tuu na hizo hospital watu binafsi au halmshauri wangeweza kuzijenga wenyewe maana wanakusanya kodi ila zote zinaenda hazina badala ya kufanya kazi zilipokusanywa
Kuna mahali nimeona hospitali ya Wilaya imejengwa kwenye Eneo lililozungukwa na makazi na mashamba ya watu na wamegawa viwanja kuzunguka majengo ya Hospitali na kuacha hospital bila hata Eneo la kujenga nyumba za Madaktari na manesi.
Yani Nesi alipwe mshahara 700000 halafu mtu anampangishia nyumba laki 300,000/- serikali inaona ni sawa tu.Badala ya kuwajengea Madaktari,Walimu ,Maaskari na watumishi wa Halmashauri nyumba za kuishi hata Kwa kulipa Kodi kidogo ya pango 50,000/- au 40,000/-ili waweze kutumia mishahara yao midogo Kujikimu kimaisha badala ya kuwaacha wahangaike Kwa kujitafutia rushwa.
 
Unayemwongelea ni huyu aliyekalia kiti kwenye bunge la katiba, akajizolea posho lukuki na leo miaka 8 baadaye hajui kwanini alichukua posho?

View attachment 2168100

Huna hata neno la kumtaka azicheue pesa zetu?
Mtu wa kijijini kule Ngara Mumilamila au wa kule Kigoma kayanza ndani ndani huko hii katiba inamsaidia nini?.

Mama anayeupata umeme miaka ya sasa anayasubiri maji yamfikie ili maisha ya kawaida yawe kweli ni ya kawaida kwake, na umri wa kuishi wa mtanzania angalau usogee kuliko huu wa sasa.

SSH anayo mengi mno ya kutekeleza naona kama hii katiba itasubiri mpaka kazi fulani ya kuonekana iwe imefanyika. Nyinyi wanaharakati endeleeni tu kuanzisha uzi hapa JF kwani ni bure kabisa kufanya hivyo.
 
Kuna mahali nimeona hospitali ya Wilaya imejengwa kwenye Eneo lililozungukwa na makazi na mashamba ya watu na wamegawa viwanja kuzunguka majengo ya Hospitali na kuacha hospital bila hata Eneo la kujenga nyumba za Madaktari na manesi.
Yani Nesi alipwe mshahara 700000 halafu mtu anampangishia nyumba laki 300,000/- serikali inaona ni sawa tu.Badala ya kuwajengea Madaktari,Walimu ,Maaskari na watumishi wa Halmashauri nyumba za kuishi hata Kwa kulipa Kodi kidogo ya pango 50,000/- au 40,000/-ili waweze kutumia mishahara yao midogo Kujikimu kimaisha badala ya kuwaacha wahangaike Kwa kujitafutia rushwa.
Wewe hao wote wanajengewa kadiri ya upatikanaji wa pesa.

Ukiona inakukata acha Kazi,huko private sector CO analiowa 300k afu wewe unabeza 700k ya nesi?
 
Twende kwenye mada.

Unaweza mbeza na kumchukia na ukamfanya vyovyote unavyojiskia ila ukweli itabakia pale pale kwamba rekodi anazoweka mh.Rais SSH hazijawahi kuwekwa na Rais yeyote aliyemtangulia.

Afya ikiwa ni moja ya kipaombele chake, Serikali inajenga jumla ya vituo vya afya vipya zaidi ya 233 Kwa mpigo.

Hii ni sekta moja tuu ya Afya,ukienda sekta ya maji hivyo hivyo, barabara hasa za Tarura kote mambo ya bam bam.

Licha ya wenye chuki nae kuwa busy kutunga uongo na uzushi lakini ukweli wa kwenye Takwimu unambeba.

Mungu mbariki Rais wetu,huyu sasa ndio anafaa aongoze hadi achoke kama Angel Markel.

Kazi iendelee [emoji116]

View attachment 2167103

View attachment 2167106

View attachment 2167107
Asante kwa kutujulisha wananchi.Mungu ampe uzima,Afya na nguvu,mama yetu Kipenzi cha wengi,sisi wananchi.
 
Huu ni ukweli mchungu na amedhamiria kuwapunguzia wamama/ wanawake na watoto madhila yao.

Amezipa msukumo Sana sekta ya Afya,maji,barabara Vijijini,mikopo kwa wanawake na elimu ya mtoto wa kike on top of kuwapa fursa mbalimbali Serikalini.
Sasa hivi mbona hospitali zinatolewa panadol tu, dawa hospitali hakuna unaambia kanunue!
 
Mtu wa kijijini kule Ngara Mumilamila au wa kule Kigoma kayanza ndani ndani huko hii katiba inamsaidia nini?.

Mama anayeupata umeme miaka ya sasa anayasubiri maji yamfikie ili maisha ya kawaida yawe kweli ni ya kawaida kwake, na umri wa kuishi wa mtanzania angalau usogee kuliko huu wa sasa.

SSH anayo mengi mno ya kutekeleza naona kama hii katiba itasubiri mpaka kazi fulani ya kuonekana iwe imefanyika. Nyinyi wanaharakati endeleeni tu kuanzisha uzi hapa JF kwani ni bure kabisa kufanya hivyo.

Takwimu zinawasuta mjomba:

TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya
 
Takwimu na uhalisia ni vitu viwili tofauti kama umenielewa lakini.

Takwimu haina maana? Ndiyo sababu tulikuwa tunapigishwa nyungu, Corona ilikuwa vita na chanjo ni upigaji.

Ile idara ya takwimu za serikali kumbe ni ya nini basi?

Endeleeni kujidanganya.
 
Nao
Twende kwenye mada.

Unaweza mbeza na kumchukia na ukamfanya vyovyote unavyojiskia ila ukweli itabakia pale pale kwamba rekodi anazoweka mh.Rais SSH hazijawahi kuwekwa na Rais yeyote aliyemtangulia.

Afya ikiwa ni moja ya kipaombele chake, Serikali inajenga jumla ya vituo vya afya vipya zaidi ya 233 Kwa mpigo.

Hii ni sekta moja tuu ya Afya,ukienda sekta ya maji hivyo hivyo, barabara hasa za Tarura kote mambo ya bam bam.

Licha ya wenye chuki nae kuwa busy kutunga uongo na uzushi lakini ukweli wa kwenye Takwimu unambeba.

Mungu mbariki Rais wetu,huyu sasa ndio anafaa aongoze hadi achoke kama Angel Markel.

Kazi iendelee 👇

View attachment 2167103

View attachment 2167106

View attachment 2167107
Naomba unijibu maswali haya mawili marahisi.
1. Je, Samia amejenga hivyo vituo kwa pesa ya mshahara wake?
2. Je, hiyo mipango ya ujenzi ni mipya aliyoanzisha samia au ilikuwa kwenye ilani ya uchaguzi ya ccm 2020 - 2025?
 
1.Kodi yako ikijenga sifa ni kwa Samia sio wewe,yeye ndio Ali mobilise tozo licha ya kutukana haya sasa ndio matokeo na lazima tumpongeze kwa ubunifu.

2.Mipango specific ni mipya kaanzisha Samia lakini mpango wa kuboresha sekta ya Afya kwa kujibu wa sera ya Afya ya kuwa na kituo cha afya kila kata,zahanati kila kijiji, hospital za Wilaya,mikoa na Kanda ipo kwenye ilani na sera za Nchi.

Samia kaongeza Kasi ,ikumbukwe Mwendazake ambae ndio reference yenu alijenga vitoa vya afya 104 kwa miaka 6.

Una swali jingine?
 
Back
Top Bottom