1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Kuna mahali nimeona hospitali ya Wilaya imejengwa kwenye Eneo lililozungukwa na makazi na mashamba ya watu na wamegawa viwanja kuzunguka majengo ya Hospitali na kuacha hospital bila hata Eneo la kujenga nyumba za Madaktari na manesi.Sina uhakika kama yuko visionary kiasi hicho, anachofanya ni short term solutions tuu na hizo hospital watu binafsi au halmshauri wangeweza kuzijenga wenyewe maana wanakusanya kodi ila zote zinaenda hazina badala ya kufanya kazi zilipokusanywa
Yani Nesi alipwe mshahara 700000 halafu mtu anampangishia nyumba laki 300,000/- serikali inaona ni sawa tu.Badala ya kuwajengea Madaktari,Walimu ,Maaskari na watumishi wa Halmashauri nyumba za kuishi hata Kwa kulipa Kodi kidogo ya pango 50,000/- au 40,000/-ili waweze kutumia mishahara yao midogo Kujikimu kimaisha badala ya kuwaacha wahangaike Kwa kujitafutia rushwa.