Waziri Bashungwa awataka waliojenga Barabarani kubomoa nyumba zao kupisha upanuzi wa barabara

Kwa hiyo tusijenge barabara yenye hadhi (double lanes) kwa sababu mmejenga vibanda vyenu. Kwanini mlijenga bila kuuliza?
Ukifuatilia point zangu tangu mwanzo wa mjadala utagundua kuwa sipingi kuondoka, bali napinga kuondolewa kavu kavu ndio maana nikahoji kwanini hawakutuzuia pale mwanzo?
Tumeishi hapo leo miaka kibao ndio tuondoke bila fidia? Japo kidogo?
 
Kule, naona hao ' usomi' haujaleta tija kabisa!
Hebu itaje hapa Tija gani unataka wew...wasomi wajenge barabara ya njia nne, stendi nk?
Kama ni tija ya maisha ya koo moja moja then Bukoba hainab mpinzani tz hii...
 

Mkuu ujenzi umeshanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…