Mkuu, Heshima kwako; leo huko vijijini watakwambia aidha awamu ya REA imepita ama nguzo za REA hazipo, zilizopo ni za TANESCO. Si unafahamu wale ni wataalamu?Ninachojua kijijini ni REA, hununui nguzo, ukilipia umepigwa, muone mkurugenzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Heshima kwako; leo huko vijijini watakwambia aidha awamu ya REA imepita ama nguzo za REA hazipo, zilizopo ni za TANESCO. Si unafahamu wale ni wataalamu?Ninachojua kijijini ni REA, hununui nguzo, ukilipia umepigwa, muone mkurugenzi.
Hao sasa wezi kabisa, nguzo si wanatumia hiyohiyo?Wewe unaishi Tz kweli?
Mimi niliwaambia wabadirishe nguzo na waweke pembeni na uwanj yaani mpakani maana ipo katikati ya kiwanja wakaniambia 430k Hadi Leo ipo naitafuta hiyo 430k ! Kwahiyo kubadirishiwa nguzo ni Hela vilevile
Hao sasa wezi kabisa, nguzo si wanatumia hiyohiyo?
Umesoma cost accounting?Shirika linapewa bure hizo nguzo?? Na kama ungependa iwe mali yako kwakuwa unalipia je uko tayari kulipia nguzo mpya kila mara inapotakiwa kubadilishwa?? Vipi kuhusu mita ya umeme nayo si unalipia, uko tayari kulipia kila inapopata hitilafu??
Mwalimu Mwangomile alisema hiyo haitoki NECTA achana nayoUmesoma cost accounting?

Mara ya mwisho kulipishwa mnara wa Vodacom lini?Ni kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
Yaani hicho wanachofanya ni wizi mtupu!Mkuu TANESCO ni zaidi ya TRA. Unamuuzia mteja nguzo, na wakija wateja mwengine zaidi ya 5 wanatumia /wana wasambazia umeme nguzo hiyohiyo uliyo nunua wewe bure, hii imekaa kaa je? Mtu amenunua nguzo yake ni mali yake mwachieni atumie atakavyo na sio kuifanyia biashara kwa wateja wengine.
Lakini mtungi au simu ni mali ya mteja... ana uhuru wa kufanya chochote!Ni kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
Kwenye mkataba wa pango hela ya mteja ikitumika kuharakisha mchakato wa ujenzi au ukarabati utaratibu ni kupigiana mahesabu ya fidia kwanza.Shirika linapewa bure hizo nguzo?? Na kama ungependa iwe mali yako kwakuwa unalipia je uko tayari kulipia nguzo mpya kila mara inapotakiwa kubadilishwa?? Vipi kuhusu mita ya umeme nayo si unalipia, uko tayari kulipia kila inapopata hitilafu??
Nguzo inabadirishwa Mara ngapi kwa mwaka?Shirika linapewa bure hizo nguzo?? Na kama ungependa iwe mali yako kwakuwa unalipia je uko tayari kulipia nguzo mpya kila mara inapotakiwa kubadilishwa?? Vipi kuhusu mita ya umeme nayo si unalipia, uko tayari kulipia kila inapopata hitilafu??
Mtungi unakua mali yangu, simu inakua mali yangu. Point yako haina logicNi kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
Mtungi na simu ukivinunua vinakuwa vyako. Ila nguzo unanunua lakini ni ya TANESCO.Ni kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
Nguzo wanakodisha maana unalipa halafu I abaki kuwa yaoKwani HUDUMA KUU ni kuuza nguzo au kuuza UMEME..
Wizi mtupu.TANESCO bado nishirika linalo endeshwa kizamani sana eti hadi leo hawaruhusu kufunga mita mbili kwenye nyumba moja ,yaan bado wanawaza kinyume nyume sana hawa mbeha