Waziri Biteko ongea yote kuhusu ufisadi wa kutisha uliokuta hapo wizara ya nishati lasivyo utaubeba wewe huo uchafu

Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki .

Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa zaidi ya bilion mia.....

Km kweli wewe ni mzalendo tunaomba anika ufisadi mkubwa kuwahi kutokea hapo au jiuzulu

Mtaficha kwa muda tu huu ufisadi km walivyokuwa wakificha dp world
HANA UBAVU HUO LABDA KAMA HAJIPENDI
 
Mbona iyo billion 100 kidogo?
 
Biteko usiposema ufisadi uliokuta jiandae kwa kuangukiwa na jumba bovu
 
Back
Top Bottom