TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

Kila mtu anapofariki dunia tunapaswa kusikitika.Ila niseme ukweli wangu,hata siku moja sikuwahi kupenda mawazo ya huyu mama.Mambo yake aliyafanya kama hatakuja kuondoka hapa duniani.
Siyo huyu tu wanaCCM wengi huwa wana behave as if wao hawatakufa, si unaona hata comenti zao humu? za kejeli.
 
wew ni nan mpak uhukumu? Ebu achen maneno ya kashfa huwezi jua huwenda kabla ya kutwaliw alipew nafasi ya kujisafisha, ebu tubadilike tuache kunyooshe wengine vidol ikiw cc ni wachafu zaid yao...R.I.P MAMA G

Tatizo alihukumu kabla hivyo usishangaye haya maoni ya watu
 
naona umefurahi sana. Lakn tambua kwanzia sasa hatujui nan anafuata kat ya mm au ww au mamvi.
Mtamsema sana lakn ndio hvyo hataweza kuwajibu hoja zenu.
Najua wengi wanatoa dhihaka kamakwamba wao ndio wataishi milele wakat hesabu imebaki kwetu.
Na hili liwe somo kwako uache kudhihaki ugonjwa wa mtu.
 

Chuki ya ITIKADI na UKANDA.Matusi na kudhalilishana,huyu mama alimdhihaki Lowassa,leo ametangulia kabla ya Lowassa.Tupime maneno yetu.Tujiandae.Na tukumbuke a golden rule..."Usichopenda kutendewa basi usimtendee mwenzako."CCM jiangalieni maneno yenu ya kebehi na dhihaka.Mgonjwa anaweza kuishi na mzima akawa mfu.Tujifunze kwa huyu.
 
Ninawaasa wale wote wanaopanda kwenye majukwaa ya kampeni hata humu JF na maeneo mengine tujifunze GOLDEN RULE.Inayosema inayosema...USICHOPENDA KUTENDEWA WEWE USIMTENDEE MWENZAKO.

Jamani sisi wote ni binadamu,wote ni watanzania tunahaki sawa sawa,haijalishi chama ulicho au imani yako,haijalishi mgombea umpendaye,daima tushindane kwa hoja na si kwa afya,matusi,dhihaka au kudhalilishana.

Hakuna mtu anayeijua siku wala saa.Sisi sote ni wapita njia ,marehemu tunaotembea.Hili La Celina Kombani liwe fundisho kwa akina Nape,Msukuma na Bulembo na wale waote wanaodhani ugonjwa ni adhabu.
 
ww boya nn? Nan amedhihaki ugonjwa?
Hizo kauli zenu mnazitoa bila kujua kesho mtakuja kutuomba tuwe pamoja kuomboleza msiba, ndiyo sababu wengine wanawashushia makavu.
 
Nukuu "Bora Lowasa ameondoka na kuhamia huko Ukawa maana angetufia sisi huku CCM bora Akafie huko Chadema"
( Celina Kombani, 2015)

Kwa Mapenzi ya Mungu Kafa yeye kamuacha Lowassa...Tuepuke Maneno Mabaya kwa Wenzetu.

R.I.P MH CELINA KOMBANI
 
naona umefurahi sana. Lakn tambua kwanzia sasa hatujui nan anafuata kat ya mm au ww au mamvi.
Mtamsema sana lakn ndio hvyo hataweza kuwajibu hoja zenu.
Najua wengi wanatoa dhihaka kamakwamba wao ndio wataishi milele wakat hesabu imebaki kwetu.

Hizi hoja anaweza kuzijibu lusinde, msukuma, Mwigulu, Makongoro, asumta, na wengineo kwenye team kampeni ya CCM badala yake
 
Mkuu sikuongelea/kumnyooshea mtu ugonjwa nadhani tafsiri yako haiendani na maudhui yangu.
 
duu yaani watu wanavyomwandama dr. slaa afadhari hata asinge comment. wata wanamwandama utadhani kafa yeye duu siasa haina urafiki
 
Hoja sio ugonjwa wa kila mtu, hoja ni kuchagua rais mnaemjua mgonjwa tayari
 
Vengu Alikuwa akimuigiza Mrema Kama mgonjwa, leo hii Vengu yuko wodini Mrema yuko Kiraracha, tukumbuke The most commonly quoted definition of health is that formalized by the World Health Organization (WHO) over half a century ago; “a complete state of physical, mental and social well-being, and not merely the absence of disease or infirmity.”
 
Alikuwa anaumwa?
Kama ni kweli, poleni wafiwa..
Hako ka-mama ulikuwa ukikaangalia kwa jicho la tatu kalikuwa kama kameathirika vile?!!!

Kalikuwa na mdomo mchafu sana, kalimwombea mabaya Mh. Lowassa lakini Mungu mkubwa kametufia kenyewe kwenye chama na Lowassa anadunda tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…