Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Mbona tuna waziri mkuu mgonjwa?
R.I.P. Mama Celhna. Daima tutakukumbuka kwa upendo, Upole,busara na utu wa kuthamini wenzio na kutopenda makuu na mbwembwe.
Celina Kombani alikuwa mgombea wa CCM, na kwa mujibu wa makada wa CCM hapa jamvini, na wale walioko field, wanasema Watanzania hawapaswi kumchagua LOWASSA kwa sababu LOWASSA ni "mgonjwa"{kwa mujibu wao}, Lakini hawakuwahi kuwaambia wana ULANGA, wasimchague Marehemu Kombani kwa sababu ni mgonjwa na amelazwa INDIA! Mungu sio mjinga kama nyie akina Boko haram huu ni mfano tu amewapa! Msipoweza kujifunza hapa! Hamtajifunza tena!
Saw alihukum ila hutakiw kumhukumu coz hujui xafar yake ameimalizaje? Huwend amemaliz vyema
R.I.P mama tutakukumbka.
Nchi tunamkabidhi rais sio waziri mkuu ,anaruka kwa chopa kwenye kampeni lakini na dripu kila kituo. Rais ndio kamanda wa vita mkuu, hatakiwi mtu aliyechoka mwili na akili. Infact hilo haliondoi siri kifo kitamuanza nani.
Duu!nitamkumbuka kwa kauli yake aliyosema "bora lowasa amehamia ukawa maana angewafia ccm" naona katangulia yeye lowasa wetu huyooo mwendo wa kukwea chopa!
Mi nadhani mambo ya kumaliza vipi safari ni kati ya mtu na Mungu wake, sisi hayatuhusu!
Chuki ya ITIKADI na UKANDA.Matusi na kudhalilishana,huyu mama alimdhihaki Lowassa,leo ametangulia kabla ya Lowassa.Tupime maneno yetu.Tujiandae.Na tukumbuke a golden rule..."Usichopenda kutendewa basi usimtendee mwenzako."CCM jiangalieni maneno yenu ya kebehi na dhihaka.Mgonjwa anaweza kuishi na mzima akawa mfu.Tujifunze kwa huyu.
Unyanyapaaji dhidi ya wagonjwa utaturudisha kule kulee kwenye takwimu zinazowakwaza wafadhiliYani pamoja na fundisho hili bado kahama leo yalikuwa yale yale LOWASA MGONJWA LOWASA MGONJWA Dah! ccm hakuna wanawaza madaraka tu kuyapata kwa njia yoyote
Wewe mzee hivi utatulia ukifika wapiView attachment 291112