This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
R.I.P
Alikuwa ana cheo gani?
Habari toka ITV saa mbili usiku.
Mhe Celina Kombani alikuwa pia mgombea Ubunge Ulanga na amefariki Dunia akiwa India kwenye matibabu.
Politics wapi! Itv nao wametangaza kuwa amefariki
ni ulanga mkuuMkuu anaegombea Kibamba ni Mukandara,huyu kama ni yule waziri basi ni wa mahenge.