TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

RIP Celina. Poleni wana Ulanga na ndugu wote. Alikuwa anaumwa nini?

Habari za hivi punde zimeripoti kuwa Aliyekuwa waziri wa katika wizara mbalimbali katika awamu ya nne ya mh. Kikwete Celina kombani afariki dunia huko India alikokuwa akipatiwa matibabu, taratibu za kusafiri mwili wa marehu zinafanywa.
 
Alikuwa mgombea ubunge Jimbo la Ulanga..!!

R.I.P Celina..!!!
 
Alikuwa mgombea Jimbo la Ulanga..!!

R.I.P Celina..!!!
 
Poleni sana wafiwa na wale wote walioguswa na huu msiba. Ni msiba mkubwa.
 
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha waziri wetu Celina Kombani kilichotokea huko India.. more updates to come

Jamani kuna umuhimu sana wa kujenga hospitali nzuri hapa Tanzania..Fikirieni wandugu
 
Kwa nini unasema CCM pekee wakati tuko kwenye kampeni za kuchagua serikali mpya?

Kwani wapinzani wengine wanasemaje kuhusu kutibiwa nje ya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…