gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,577
r.i.p celina.
ina lillah wainna illahi rajiuun
Mingu amlaze mahari Pema peponi inshaaallah
RIP Mama Celina kombani
Hahahaaaa mkuu huko kutafutana ubaya sasa.
Du...aiss hebu tafuta ka-avatar kengine kakutolea rip....maana hapo unatabasamu balaa huku unasema rip...
km kweli ni pigo kubwa kwetu wanaulanga hakika mungu atakuwa ametunyang'anya mama mpambanaji. RIP OUR MP
Alikuwa Mgombea Ubunge Ulanga Mashariki Kupitia C C M.