#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

Ni nukuu ambayo nimeiona katika Mitandao wa Nipashe na bahati mbaya Mimi Kiswahili sikijui vizuri hivyo wenye kukijua naomba mnieleweshe tafadhali.

Kumbe Mume wa Waziri wa Afya Dk. Dorothy Gwajima anamiliki Mtambo huku Serikali na IGP Sirro hawajui na baada ya Kuchanjwa tu J&J ya UVIKO-19
ameutesti Nyumbani Kwake mbele yake Mkewe na Kugundua haujaathirika na chochote?

Je, kuna Watu wengine nao Kwingineko baada ya Kuchanjwa tu UVIKO-19 huko waliko wameshatesti Mitambo yao na Kuona Wako Fiti na kwamba Makombora yao yanarusha vyema risasi na Adui zikimfikia huwa anasikia Utamu na Raha japo hufa?

Binafsi pia nataka Kesho nikachanje na nikimaliza tu nitapumzika na mida ya Usiku nitaanza Kutesti nami Mtambo wangu ninaoumiliki Kihalali tokea nizaliwe kuanzia Kimboka kisha Afrika Sana na nitamalizia kati ya Juliana au Beach Kidimbwi na Majaribio yangu hayo yakienda vyema nitawaletea Mrejesho hapa hapa.
 
Wanatuchezea kama mwanasesere. Kwa mbaali naona yule wa sheria ameanza kujitambua. Simuoni akifanya sarakasi hadharani.
 
Wizara ya afya haina waziri wala naibu waziri toka 2021 ianze,huyo unaemsema anafile mirembe ni mwehe tu shemeji wa anfanfiro
 
Sikiliza wewe muhutu, tz sio sawa na huko rwanda kwenu
 
Huyu mama ni mhuni sana, huyu msukuma aliyemuoa sijui alimkuta wapi mama mwenye nyodo hivi.
 
Reactions: BAK
Nguvu za gegedo zimeongezeka mara mbili. 😂😂
 

Mitambo! Image result for ndizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…