#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

Huyu maza huyu dah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ angekuwa maza angu sijui sura ningeificha wapi akyanani
Mimi namuoneaga huruma zaidi.Nadhani wizara yake ni kati ya wizara zinazopita kwenye wakati mgumu sana.kumbuka yeye alikuwa front kwenye kutuhamasisha kutumia njia za asili(michemsho ya tangawizi) kujilinda na covid. yaani amekuwa flexible kupita kiasi kwenda na upepo
 
Hiki ndio chuma halisi sasa sio wale wa kuvunga ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Hahahahah namsubiri Askofu chidi mzee wa โ€œAmfifiroโ€ akiwashe hapo ufufuo na uzima ๐Ÿ˜‚
 
Kwani kaongea nini cha ajabu,sasa mnafikiri kwamba huyo mama hapigi show?
Ana uzee gani?

Ila ni kweli kuna jamaa yangu kachanja anakwambia alipiga show ambayo hakuwahi kupiga miaka hii ya karibuni,mpk wife analalamika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ