Waziri George Simbachawene: Waliowashambulia wapenzi wakiwa faragha kwa madai ya kuwafumania wakamatwe

Mkuu we huwajui wanawake Wa kiafrica,hakupendi na bado hataondoka hapo kwako,atachakatwa huko nje ,labda we ndo uamue kuchukua hamsini zako utokomee.
 
akichakata na wewe unachakata mkuu mbona rahisi tu maisha bila kuwa na mchepuko hayaendi utakufa na presha
Sawa mkuu yaani tit4tat.

Unanishauri na Mimi nitafute mchepuko mke Wa MTU ili twende sawa na wife sio?
 
Na kuhusu ndoa za mkeka vipi muheshimiwa waziri,uko na manzi yako geto,mara ghafla wanatokea watu na shehe mmoja,unashikwa mkono unaozeshwa kinguvunguvu,hii muheshimiwa aisemee kutunusuru sisi mabaharia.
 
Na kuhusu ndoa za mkeka vipi muheshimiwa waziri,uko na manzi yako geto,mara ghafla wanatokea watu na shehe mmoja,unashikwa mkono unaozeshwa kinguvunguvu,hii muheshimiwa aisemee kutunusuru sisi mabaharia.
... Huu ujinga bado upo dunia ya leo?
 
Waziri anatoa wapi Mamlaka ya Kutupangia Masuala yetu ya Faragha za Wapenzi wetu? Sisi huwa tunayaingilia ya Kwake?

Anakoelekea sasa huyu Waziri ni kutaka kutuambia kuwa Wanaume wanaowafanya Wapenzi wao Mabao mengi wayapunguze kwani wanazitesa 'Mbinye' zao.

Kama leo hii Tanzania imefikia kuwa na Waziri anayepoteza muda na Mambo ya Faragha za Kimapenzi za Watu huku akiyaacha au akishindwa 'Kudili' na Mambo makubwa na ya Kimsingi kabisa basi ni Hatari na huenda hiyo 'docket' husika ikawa imepata Waziri 'bogus' kuwahi kutokea hapo.

Yaani kabisa GENTAMYCINE nikufumanie 'unabanduliwa' halafu nisiiharibu kabisa 'reception' yako kwa Vichwa vyangu vya Meddie Kagere 'nimerogwa' au?

Tena hili Tamko la Waziri ndiyo limenipandisha Hasira kuna Mtu mpaka sasa hivi hajarudi na akirudi tu najua Kesho atahangaika kutafuta Hospitali ili akanunue Meno yake ya Bandia kwani aliyonayo ya Asilii naenda 'Kusepa' nayo mazima Usiku huu huu Kudadadeki.
 
Afadhali umefafanua, maana kwa hii mada jinsi ilivyoandikwa hapa... Watu wangeanza kunsaka mke wa waziri ili watafune mbususu!! [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Duuh! Huyu bwana yalimkuta miaka ya nyuma Dodoma hotel na mke wa mtu red handed ikamtoka 15M🤣🤣🤣 leo kashikilia Bango lazima cheti.
 

Waziri amesema hakuna kufumaniana kama hauna cheti cha ndoa,na ni kweli utamfumaniaje mtu wakati hata kwao hautambulikiView attachment 1883454
 
Umesahau idara ya vitabulisho vya taifa NIDA, ni mwaka 4 sasa tunatembea na no. tu, huwa najiuliza kuanzia waziri hadi mkurugenzi wa hicho kitengo hawaoni aibu.
 
Uongozi wa sasa ni kumgandamiza MTU ili uonekane unafanya kazi
 
Nadhani hizi post za uwaziri zina tatizo kubwa mahali.. Mtu akishaipata akili humhama na kujikuta anaongea madudu mbele ya camera
 
Mtu akishiba hawezi kwenda kudoea kwa jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…