Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

Shamukuale ya ko pesa mbongo, (Loi)
Shamukuale papa pesa mbongo, (Loi)
Na ba wiliki mba mba sokumunu pesa mbongo
Na ba wiliki mba mba sokumunu
Pesa mbongo abomi nga abetaka ngai eh
Abomi nga abetaka ngai eh eh 🎶🎵🎶
Makasi makasi Makasi...nzembela bangooooo......
 
Mwishoni umesema hiyo ndiyo juisi yako siyo?

Kumbe ni kiburudisho, tunamshukuru waziri kwa kubuni juisi mpya.
 
Kwanini asilimpelekee Magufuli maana yupo chato toka ugonjwa umeingia kwa kasi tena. Huu ni global disease ujinga wake amueleze mume na Magufuli.
Hujaambiwa wewe! Wewe subiri chanjo
 
Mwishoni umesema hiyo ndiyo juisi yako siyo?

Kumbe ni kiburudisho, tunamshukuru waziri kwa kubuni juisi mpya.
juisi nina maana ya huo mchanganyiko au huo mchuzi wake unaopatikana bada ya kusaga huo mchanganyiko
 
.
JamiiForums329407765.jpg
 
Wanasanyansi wa kitanzania wa National Institute for Medical Research (NIMR) ndio wamefanya huo utafiti .Huwaamini wanasayansi wetu? Ulitaka wawe wakoloni wazungu waliojaa kichwani kwako ndio wafanye uwaamini?
Nimr nayo ina wanasayansi ama waganga wa kienyeji?😂. Unajua maana ya sayansi?

Kitu chochote ili kiwe cha kisayansi lazima kiwe na universality, replicability, sasa ulisikia watu gani wengine Duniani wamesema chumvi, pilipili, kitunguu maji, kitunguu saumu, majani ya mlimao yanatibu corona?
 
Hiyo mbona ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume?yaani Mwamba utasimamia show mwanzo mwisho hadi binti ahisi kunawaka moto
 
Back
Top Bottom