Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

Nimr nayo ina wanasayansi ama waganga wa kienyeji?😂. Unajua maana ya sayansi?

Kitu chochote ili kiwe cha kisayansi lazima kiwe na universality, replicability, sasa ulisikia watu gani wengine Duniani wamesema chumvi, pilipili, kitunguu maji, kitunguu saumu, majani ya mlimao yanatibu corona?
Wewe ukoloni wa kizungu umekujaa kichwani

Dawa za asili za kichina ziko universaly accepted? au za kimasai? au za kihindi au za kiarabu?
 
Kwa nini tutumie pesa za kigeni kuagiza dawa Madagascar wakati uwezo wa kutengeneza tunao?
Kwa nini ilifuatwa na kuletwa ilihali uwezo tunao? Hiyo hasara iliyopatikana nani awajibishwe?

Kwako Kabudi..
 
Kwa nini ilifuatwa na kuletwa ilihali uwezo tunao? Hiyo hasara iliyopatikana nani awajibishwe?

Kwako Kabudi..
Ilikuwa za kwetu bado kugundua ulitaka watu wafe hadi tutakapogundua?
 
Yule dogo aliesemaga ana dawa ya korona si ilikua kama hii.walimkamata polisi
 
Hata dawa unazokunywa za wazungu nyingi ni mitishamba,mboga mboga na matunda na majani ya miti au hujui hilo?
Ni kweli kabisa lakini zilipitia process gani mpaka kuidhinishwa kutumika kwa binadamu?

Watu waliua maini kwa sababu ya kunywa muarobaini kama tiba ya malaria.

Watu waliacha hospitali wakafia njiani kufuata kikombe cha babu,leo kisukari bado kipo,Ukimwi bado upo na wote waliokunywa kikombe cha babu na wakaacha dawa za hospitali wameshaondoka!!

Dr.Gwajima atupe hata publication moja kuhusu hizi dawa,walipewa wangapi katika condition gani na matokeo yake yakawaje.
Kazi ya mkemia mkuu ni kuangalia kuwa hakuna ingredient ambazo zinaweza kuwa ni sumu lakini si kazi yake kupima efficacy wala efficiency ya dawa.

Nimesikiliza clip yake anasoma neno kwa neno kwa umakini mkubwa asije akakosea alichoandikiwa.SAAAAAAAAAAAAAD!
 
Nchi imegeuka kua ya kishirikina, inchi ya wapiga ramli.

Toka lini kachumbari/chachandu ikawa tiba ya magonjwa?

Tufute wizara ya afya maana haina uhumimu, tutymie waganga wa kienyeji na wapiga ramli.
Kwani waganga wa jadi hawawezi kuwa wizara ya afya? Au kwako wewe wizara ya afya ni nini
 
Nimr nayo ina wanasayansi ama waganga wa kienyeji?😂. Unajua maana ya sayansi?

Kitu chochote ili kiwe cha kisayansi lazima kiwe na universality, replicability, sasa ulisikia watu gani wengine Duniani wamesema chumvi, pilipili, kitunguu maji, kitunguu saumu, majani ya mlimao yanatibu corona?
Ninyi ndiyo wanafunzi wakiwaletea, title za project, ama concept note, unaanza kuuliza, hiyo imeishafanywa wapi!?

Ukimjibu kuwa hiyo nimekagua literatures zote za hivi karibu ( kuanzia saasa kurudi miaka 5 nyuma) na review papers tano kwa kila miaka kumi kwa miongo minne kwenye field hii sikuona aliyefanya wala kugusia idea hii!?

Na ukishajibiwa hivyo, unaanza kusema achana nayo hiyo title research itakusumbua, tafuta amazo kidogo wamefanya!!

Mwanafunzi anabaki mdomo wazi!!! Sisi wapembeni tunakuchora tu!! Kuwa utafiti wako wa applied research mwanzo mwisho bila basic research umeua kuwaza kwako juu ya innovation na ubunifu kwa ujumla katika kutatua matatizo ya jamii!!
 
Hatimaye serikali kupitia Waziri wa Afya imekubalika kuwa corona ipo na kukabiliana nayo tutumie mchanyato wanaoutengeneza kwa viungo/matunda mbalimbali ambayo inachanganywa na maji lita moja.
 
Hata dawa unazokunywa za wazungu nyingi ni mitishamba,mboga mboga na matunda na majani ya miti au hujui hilo?
Taja mbili tu.
Usinitajie quinine.

Unaleta ujinga hapa unataka watu waamini ujinga?
 
Wewe ukoloni wa kizungu umekujaa kichwani

Dawa za asili za kichina ziko universaly accepted? au za kimasai? au za kihindi au za kiarabu?
Unewahi kusikia dokta anasomea kutoa dawa za kichina? Ama uliwahi kwenda China ukaugua mfamasia akakuandikia dawa za asili za kichina?

Eti dawa za kimasai😂😂.
 
Nchi imegeuka kua ya kishirikina, inchi ya wapiga ramli.

Toka lini kachumbari/chachandu ikawa tiba ya magonjwa?

Tufute wizara ya afya maana haina uhumimu, tutymie waganga wa kienyeji na wapiga ramli.
Ushirikina wa kuponyesha ndio wenyewe sasa, na ukipigwa korona utsitaifuta tu hiyo dawa unayoiita ya kishirikina
 
Ni kweli kabisa lakini zilipitia process gani mpaka kuidhinishwa kutumika kwa binadamu?
Watu waliua maini kwa sababu ya kunywa muarobaini kama tiba ya malaria.
Watu waliacha hospitali wakafia njiani kufuata kikombe cha babu,leo kisukari bado kipo,Ukimwi bado upo na eno kwa umakini mkubwa asije akakosea alichoandikiwa.SAAAAAAAAAAAAAD!
Kwani huko wanakunywa dawa processed za kizungu ukimwi na visukari havipo haupo? watu hawafi kwa ukimwi na ugonjwa wa kisukari?
 
Wanasanyansi wa kitanzania wa National Institute for Medical Research (NIMR) ndio wamefanya huo utafiti .Huwaamini wanasayansi wetu? Ulitaka wawe wakoloni wazungu waliojaa kichwani kwako ndio wafanye uwaamini?
Mbona unatumia smartphone zao
Kuanzia sasa ACHAAAAA mzee

Ova
 
Back
Top Bottom