Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,000
- 25,342
Makasi makasi Makasi...nzembela bangooooo......Shamukuale ya ko pesa mbongo, (Loi)
Shamukuale papa pesa mbongo, (Loi)
Na ba wiliki mba mba sokumunu pesa mbongo
Na ba wiliki mba mba sokumunu
Pesa mbongo abomi nga abetaka ngai eh
Abomi nga abetaka ngai eh eh š¶šµš¶
Wewe subiri chanjoFor idiots
Kipanya, njoo huku kuna cartoon idea ya keshoKwanini asilimpelekee Magufuli maana yupo chato toka ugonjwa umeingia kwa kasi tena. Huu ni global disease ujinga wake amueleze mume na Magufuli.
Yeye anasubiri mpaka Amstwrdam amwambieHata dawa unazokunywa za wazungu nyingi ni mitishamba,mboga mboga na matunda na majani ya miti au hujui hilo?
Hujaambiwa wewe! Wewe subiri chanjoKwanini asilimpelekee Magufuli maana yupo chato toka ugonjwa umeingia kwa kasi tena. Huu ni global disease ujinga wake amueleze mume na Magufuli.
Sawa ila ratio yake ndio matatizo.Hata dawa unazokunywa za wazungu nyingi ni mitishamba,mboga mboga na matunda na majani ya miti au hujui hilo?
Iliishia Chato..... Aiseeee!! Ile ya madagascar aliyokwenda kuichukua kabudi ipo wapi?
Na tuliambiwa vipimo vyetu hata ukipima engine oil inakutwa na virusi, yaani tunachanganyana sana,na hii ni kwa sababu tunaingiza siasa hata kwenye mambo ya kitaaluma.Utajuaje unaumwa COVID kama hakuna vipimo?
Hapo namba 2 ndio itakayofanya malimao na izo pilipili kupanda beiTiba asili inasaidia mengi sio Corona tu!
1. Uzazi
2. Nguvu za kiume...
Nimr nayo ina wanasayansi ama waganga wa kienyeji?š. Unajua maana ya sayansi?Wanasanyansi wa kitanzania wa National Institute for Medical Research (NIMR) ndio wamefanya huo utafiti .Huwaamini wanasayansi wetu? Ulitaka wawe wakoloni wazungu waliojaa kichwani kwako ndio wafanye uwaamini?