Wewe ukoloni wa kizungu umekujaa kichwaniNimr nayo ina wanasayansi ama waganga wa kienyeji?π. Unajua maana ya sayansi?
Kitu chochote ili kiwe cha kisayansi lazima kiwe na universality, replicability, sasa ulisikia watu gani wengine Duniani wamesema chumvi, pilipili, kitunguu maji, kitunguu saumu, majani ya mlimao yanatibu corona?
Kwa nini ilifuatwa na kuletwa ilihali uwezo tunao? Hiyo hasara iliyopatikana nani awajibishwe?Kwa nini tutumie pesa za kigeni kuagiza dawa Madagascar wakati uwezo wa kutengeneza tunao?
Ni kweli kabisa lakini zilipitia process gani mpaka kuidhinishwa kutumika kwa binadamu?Hata dawa unazokunywa za wazungu nyingi ni mitishamba,mboga mboga na matunda na majani ya miti au hujui hilo?
Kwani waganga wa jadi hawawezi kuwa wizara ya afya? Au kwako wewe wizara ya afya ni niniNchi imegeuka kua ya kishirikina, inchi ya wapiga ramli.
Toka lini kachumbari/chachandu ikawa tiba ya magonjwa?
Tufute wizara ya afya maana haina uhumimu, tutymie waganga wa kienyeji na wapiga ramli.
Mwarobaini watu tumekunywa miaka na miaka maini hayajafa wewe unasema hapa. Hao walioua uliwaona wapi. Mnaua kwa konyagi mnasingizia mwarobaini. Hiyo ni dawa nzuri sana ya malaria kama hujuiNi kweli kabisa lakini zilipitia process gani mpaka kuidhinishwa kutumika kwa binadamu?..
Utasubili mpaka viletwe.Utajuaje unaumwa COVID kama hakuna vipimo?
Ninyi ndiyo wanafunzi wakiwaletea, title za project, ama concept note, unaanza kuuliza, hiyo imeishafanywa wapi!?Nimr nayo ina wanasayansi ama waganga wa kienyeji?π. Unajua maana ya sayansi?
Kitu chochote ili kiwe cha kisayansi lazima kiwe na universality, replicability, sasa ulisikia watu gani wengine Duniani wamesema chumvi, pilipili, kitunguu maji, kitunguu saumu, majani ya mlimao yanatibu corona?
Wizara ya afya ya nyumbani kwenu wanaweza kua.Kwani waganga wa jadi hawawezi kuwa wizara ya afya? Au kwako wewe wizara ya afya ni nini
Radha yake sijui itakavyo kua.Mwishoni umesema hiyo ndiyo juisi yako siyo?
Kumbe ni kiburudisho, tunamshukuru waziri kwa kubuni juisi mpya.
Taja mbili tu.Hata dawa unazokunywa za wazungu nyingi ni mitishamba,mboga mboga na matunda na majani ya miti au hujui hilo?
Unewahi kusikia dokta anasomea kutoa dawa za kichina? Ama uliwahi kwenda China ukaugua mfamasia akakuandikia dawa za asili za kichina?Wewe ukoloni wa kizungu umekujaa kichwani
Dawa za asili za kichina ziko universaly accepted? au za kimasai? au za kihindi au za kiarabu?
Ushirikina wa kuponyesha ndio wenyewe sasa, na ukipigwa korona utsitaifuta tu hiyo dawa unayoiita ya kishirikinaNchi imegeuka kua ya kishirikina, inchi ya wapiga ramli.
Toka lini kachumbari/chachandu ikawa tiba ya magonjwa?
Tufute wizara ya afya maana haina uhumimu, tutymie waganga wa kienyeji na wapiga ramli.
Moja Chukua limao mbili zikate kate na maganda yake toa mbegu tu tupa huko
Kwani huko wanakunywa dawa processed za kizungu ukimwi na visukari havipo haupo? watu hawafi kwa ukimwi na ugonjwa wa kisukari?Ni kweli kabisa lakini zilipitia process gani mpaka kuidhinishwa kutumika kwa binadamu?
Watu waliua maini kwa sababu ya kunywa muarobaini kama tiba ya malaria.
Watu waliacha hospitali wakafia njiani kufuata kikombe cha babu,leo kisukari bado kipo,Ukimwi bado upo na eno kwa umakini mkubwa asije akakosea alichoandikiwa.SAAAAAAAAAAAAAD!
Mbona unatumia smartphone zaoWanasanyansi wa kitanzania wa National Institute for Medical Research (NIMR) ndio wamefanya huo utafiti .Huwaamini wanasayansi wetu? Ulitaka wawe wakoloni wazungu waliojaa kichwani kwako ndio wafanye uwaamini?