Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

Hoja kubwa alizoibua Waziri ni:
1. Gwajima kuwatuhumu kuwa wamehongwa ambalo ni kosa kubwa sana.
2. Gwajima kusema kuwa chanjo zina vitu ndani yake ambavyo vitawadhuru watanzania huko mbeleni. Hii ina maana kuwa waliohusika na uagizwaji wa chanjo wana nia ya kuwadhuru watanzania.

Waziri kutumia mifano ya uongo wa Gwajima ni kuonyesha kuwa ni pathological liar ambae hastahili kuaminiwa.

Ukweli ni kuwa dola ilitakiwa iwe imemhoji Gwajima zamani kuhusu tuhma hizi. Hivi mpinzani angesema kuwa viongozi wakuu wa serikali wamehongwa ili wakubali chanjo, Ai Jii Pii angengoja barua?

Amandla...
 
Umeongea kwa mipasho kama kawaida yako huku ukidemka ukimshambulia shemeji yako kwa mambo yasiyohusiana na chanjo.

Mambo ya yeye kulala na muumini wake we yanakuhusu nini?

Mambo ya kumfufua Amina Chifupa yanahusianaje na chanjo?
Kusoma hujui, ina maana hata picha ukutani huzioni! Sasa ikiwa mtu anajifanya anaweza kukufua wafu huku akishindwa kukufua hata ndugu zake wa damu... hivi hujui ni namna gani mtu wa aina hiyo anavyokosa uhalali wa kuaminiwa?!

Ina maana hujaona umuhimu wa Dr. Gwajina kusema hayo ili kuwaelewesha wasiotaka kuelewa kwamba Askofu Rasheed ni mtu anayestahili kupuuzwa?
Nimekusikia ukidai umeapa kwa AMIRI JESHI MKUU wa majeshi ya ulinzia na usalama. Huo ni uongo wewe ni RAIA kwa hiyo uliapishwa na RAIS wa JMT na sio Amirijeshi Mkuu.
And your point, is?
Kwa muktadha huo ukajipa Mamlaka ya kuwaagiza IGP na Mkuu wa TAKUKURU kuchukua hatua bila kujua huna mamlaka hayo, ona sasa kwa kuwa wanajua mipaka yao wamekudai uwape barua hadharani, hii ni fedheha kubwa sana kwako.
Hajawaagiza, namnukuu Dr. Gwajima hapa chini:-
Ninaelekeza majieshi yote; ya polisi naTAKUKURU. Waende wakatumie sheria zao. Wamuite, awaeleze. maana kwamba amesema; pesa! Pesa! Pesa! Mimi... Mheshimiwa Waziri wa Afya, na Rais wa JMT tumepigwa pesa pesa pesa; chanjo ziingie. Sasa yeye si anajua alikuwa shahidi alikuwa anatuchungulie; na atutajie aliyetupa. Na tulipokelea wapi. Na yeye alikuwa wapi. Chini ya Sheria ya TAKUKURU.
Btw, hivi unahitaji hadi Askofu Rasheed akueleze kwamba hata wewe unaweza kwenda polisi kutaka mtu akamatwe ukiona amevunja sheria? Seuze waziri? Hadi hapo bado hujaona umuhimu wa Dr. Gwajima kuitaka TAKUKURU?! Ina maana HUJUI ni TAKUKURU ndio wenye mamlaka ya kumtaka Askofu Rasheed athibitishe tuhuma zake zarushwa?

So, ningekuelewa endapo ungesema Askofu Gwajima hajatuhumu yeyote kuchukua rushwa, vinginevyo nalazimika kumpa Dr. Gwajima the benefit of the dout.
Nikukumbushe tu wanaoapa kiapo cha utii kwa Amirijeshi Mkuu ni majeshi ya ulinzi na usalama na sio Raia.
Hoja yako HAINA MASHIKO
Haufai kuwa kiongozi na kufanya personal attack kwa kutumia cheo chako.
Hakuna personal attack aliyofanya bali alikuwa anawakumbusha watu wenye vichwa vigumu ni namna gani huyo wanayemuamini alivyokosa uhalali wa kuaminiwa!!
Bi Mkubwa akiziba pengo la Waziri wa Ulinzi hatakuacha anza kujiandaa.
Sasa habari za waziri wa ulinzi na Dr. Gwajima zinahusiana vipi?
 
Kama hujui nyamaza utaaibika
Kofia za rais zinatumika mahala husika.

Rais akimwapisha mteuliwa wa CCM anamwapisha kama Mkt wa Chama na sio RAIS
Kwahiyo Rais anapomwapisha waziri, anafanya hivyo kama Mwenyekiti wa chama?!

Ina maana Dr. Gwajima aliapishwa kama mteuliwa wa CCM au aliapishwa kama waziri wa serikali ya JMT?
 
Kusoma hujui, ina maana hata picha ukutani huzioni! Sasa ikiwa mtu anajifanya anaweza kukufua wafu huku akishindwa kukufua hata ndugu zake wa damu... hivi hujui ni namna gani mtu wa aina hiyo anavyokosa uhalali wa kuaminiwa?!

Ina maana hujaona umuhimu wa Dr. Gwajina kusema hayo ili kuwaelewesha wasiotaka kuelewa kwamba Askofu Rasheed ni mtu anayestahili kupuuzwa?

And your point, is?

Hajawaagiza, namnukuu Dr. Gwajima hapa chini:-

Btw, hivi unahitaji hadi Askofu Rasheed akueleze kwamba hata wewe unaweza kwenda polisi kutaka mtu akamatwe ukiona amevunja sheria? Seuze waziri? Hadi hapo bado hujaona umuhimu wa Dr. Gwajima kuitaka TAKUKURU?! Ina maana HUJUI ni TAKUKURU ndio wenye mamlaka ya kumtaka Askofu Rasheed athibitishe tuhuma zake zarushwa?

So, ningekuelewa endapo ungesema Askofu Gwajima hajatuhumu yeyote kuchukua rushwa, vinginevyo nalazimika kumpa Dr. Gwajima the benefit of the dout.

Hoja yako HAINA MASHIKO

Hakuna personal attack aliyofanya bali alikuwa anawakumbusha watu wenye vichwa vigumu ni namna gani huyo wanayemuamini alivyokosa uhalali wa kuaminiwa!!

Sasa habari za waziri wa ulinzi na Dr. Gwajima zinahusiana vipi?
"Ninaelekeza majieshi yote; ya polisi naTAKUKURU. Waende wakatumie sheria zao. Wamuite, awaeleze."
[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312]
hapo juu sio AMRI?? Unaju maana ya mMAELEKEZO?

Wamekuruhusuje kwenda na simu shuleni?? au zinefungwa
 
Inaonesha unavoonesha UTOTO WAKO, RUDISHA SIMU YA MWALIMU NA UWAHI DARASANI.
gwaji.png
 
Sijaona Kosa la Waziri wa Afya Dk. Gwajima kwa aliyoyasema na Kuyaamuru.

Hivi Waziri Dk. Gwajima ni wa Kwanza kutoa Amri kwa Polisi kukamata Mtu? Mnatunza Kumbukumbu nyie?

Mna uhakika kuwa katika hili Yeye ndiyo wa Kwanza? Ni kwanini Watanzania ni Wanafiki hivi?

Hivi Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli hakuna Mawaziri waliofanya kama huyu wa Afya?

Mbona Wewe na IGP Sirro kipindi hicho wala hamkuhoji na hata tu Kupinga kama hivi?

Wewe ni Team Gaidi wa Kiimani Askofu Gwajima, Team wapinga COVID-19 Jab na una Chuki binafsi na Waziri Gwajima.

Waziri wa Afya Dkt. Gwajima yupo sawa.
Unalipwa??.Acha kisedemuhede hicho.
 
RC tu anaweza kutoa amri kwa RPC amkamate raia wa mkoa wake, na RC yuko chini sana ya Waziri, yaani mfano Waziri wa TAMISEMI ndio boss wa RCs, RAS, DCs, DAS etc nchi nzima.

So Waziri kama Gwajima ana mamlaka ya kusema naomba vyombo vya dola vimkamate fulani, na suala la barua linafuata na sbb za kumkamata zinawekwa wazi.

So Waziri kusema fulani akamatwe, ana mamlaka hayo, na ndio maana Waziri wa mambo ya ndani anaweza waamrisha IGP na kumwambia fulani mkamateni. Sasa Waziri Gwajima, ana mamlaka kama Waziri wa Mambo ya ndani, na anaweza sema aliyosema, sbb kama kuna mtu anatumia kanisa lake fake kuleta sintofahamu kwa nchi kuichafua Wizara ya Afya, Waziri ana mamlaka ya kusema akamatwe na barua na sbb za kukamatwa zinapelekwa polisi.
Si wamjibu hoja zake kwanza??!!.
 
Umeongea kwa mipasho kama kawaida yako huku "ukidemka" ukimshambulia shemeji yako kwa mambo yasiyohusiana na chanjo.

Mambo ya yeye kulala na muumini wake we yanakuhusu nini au yanahusiana nini na chanjo?

Mambo ya kumfufua Amina Chifupa yanahusianaje na chanjo?

Nimekusikia ukidai umeapa kwa AMIRI JESHI MKUU wa majeshi ya ulinzi na usalama. Huo ni uongo wewe ni RAIA kwa hiyo uliapishwa na RAIS wa JMT na sio Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa muktadha huo ukajipa Mamlaka ya kuwaagiza IGP na Mkuu wa TAKUKURU Nchini kuchukua hatua bila kujua huna Mamlaka hayo, ona sasa kwa kuwa wanajua mipaka yao wamekudai uwape barua ndio watekeleze "maagizo yako batili" tena wametamka hadharani, hii ni fedheha kubwa sana kwako.

Nikukumbushe tu WANAOAPA KIAPO CHA UTII KWA AMIRI JESHI MKUU NI MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA NA SIO RAIA

Haufai kuwa kiongozi na kufanya personal attack kwa kutumia cheo chako.

Bi Mkubwa akiziba pengo la Waziri wa Ulinzi hatakuacha anza kujiandaa.
Uhusiano mkubwa kwenye hii issue ni UONGO.

Rashid ni muongo na matapeli. Shemeji anawashangaa watu wanaomuamini mtu muongo kama huyu Askofu..... Na mifano kaitoa.
 
Kuwa na kiongozi anayeweza kula matapishi yake hadharani ni balaa kwa Taifa!! Walichokipinga hadharani hawana mamlaka ya kimaadili kukipigia debe hadharani!! Nashangaa kwa nini bado inategemewa kuwa kuna watu watamsikia na kumwelewa huyu mdelemkaji wa kike!! The same applies to her deputy! She is a disgrace to our nation!!
 
Umeongea kwa mipasho kama kawaida yako huku "ukidemka" ukimshambulia shemeji yako kwa mambo yasiyohusiana na chanjo.

Mambo ya yeye kulala na muumini wake we yanakuhusu nini au yanahusiana nini na chanjo?

Mambo ya kumfufua Amina Chifupa yanahusianaje na chanjo?

Nimekusikia ukidai umeapa kwa AMIRI JESHI MKUU wa majeshi ya ulinzi na usalama. Huo ni uongo wewe ni RAIA kwa hiyo uliapishwa na RAIS wa JMT na sio Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa muktadha huo ukajipa Mamlaka ya kuwaagiza IGP na Mkuu wa TAKUKURU Nchini kuchukua hatua bila kujua huna Mamlaka hayo, ona sasa kwa kuwa wanajua mipaka yao wamekudai uwape barua ndio watekeleze "maagizo yako batili" tena wametamka hadharani, hii ni fedheha kubwa sana kwako.

Nikukumbushe tu WANAOAPA KIAPO CHA UTII KWA AMIRI JESHI MKUU NI MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA NA SIO RAIA

Haufai kuwa kiongozi na kufanya personal attack kwa kutumia cheo chako.

Bi Mkubwa akiziba pengo la Waziri wa Ulinzi hatakuacha anza kujiandaa.
Kumbuka huyu Gwaji lady ni field marshall field Marshall ana apa kwa amiri jesh mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ,sema tu yeye alikosea badala ya kumrisha vikosi vya makomandoo vikamshughulikie shemela wake yeye ametuma vikosi vya usalama barabarani
 
"Ninaelekeza majieshi yote; ya polisi naTAKUKURU. Waende wakatumie sheria zao. Wamuite, awaeleze."

hapo juu sio AMRI?? Unaju maana ya mMAELEKEZO?
Maelekezo sio AMRI!! Na yeye kama waziri mwenye dhamana ana wajibu wa ku-deal na matapeli wa madhabahuni
Wamekuruhusuje kwenda na simu shuleni?? au zinefungwa
Huna akili ndo maana unashikiwa akili na Matapeli aina ya Gwajima!! Hapa chini, ni tapeli Gwajima akijifanya amemfufu binti "aliyekuwa amekufa"!

Jumapili ijayo Kanisani kwa Gwajima patajaaaa pomoni, kwa kauli hizi za Shemeji mtu mahubiri ya Jumapili itakuwa motroooo
Hayabadili ukweli kwamba Rashid Gwajima anayejiita askofu ni moja ya matapeli wakubwa kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanganyika
 
Back
Top Bottom