Waziri Gwajima atangaza kumchukulia hatua za kisheria Masha Love na wanaochochea kuharibu maadili

Muheshimiwa usisahau na kwenye media vitu wanavyovihoji mastar haviendani na maadili na desturi. Na huku kwenye mastar kuna kundi linaitwa wasanii wakati tunaelekea kwenyebuchaguzi hakikisha chama cha ccm hakitumii wale wasanii wanaoimba nyimbo za ajabu nakusisitiza hili maana hao ndo wasanii maarufu mwisho kabisa zoezi liwe endelevu hata kama ukitoka kwenye hiki kitengo watakaofata waendeleze.
Nikutakie kila la kheri mkuu
 
Mkuu watoto wa 2000 wakimuona Masha wanajua hayo ndiyo maisha watacopy na kupaste .... Wacha pazibwe kama Kuna ukwl hatujui roho ngapi zitapona nyuma..... Lkn kwl Kuna watu ni Wachafu Wachafu haswa ila wako ndani ya suti sirikalini huko sema ndo hivyo
 
Eeeh hii ya majoka nilipitwa geezers
 
Kawakalisha sana chupa za mtk
Wadada huyoo 😄

Ova
 
Kila mtu apambane na mzigo wake, Shangilieni waliimba "Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe" kila mtu apambane na hali yake mwenyewe, hao wanaojidai wasafi wanakula tuu kuku kwa mrija wakati kuna watu wanastruggle, mm sitaki kumnyooshea mtu kidole, huwezi jua anapitia changamoto gani. Wasanii wanavaa ovyo basi na wao wawakate kuvaa, kama zuchu na wengenio tena zuchu ndio kazidi kabisa, wamuache huyo mashalove wa watu apambane kwanza analea familia yake muacheni jaman
 
Sitaki kumzungumia Mashalove pekee, na mm sio mpenda Kick kwa kweli, ninachotaka kusema wapo wasanii wanafanya na kuvaa vitu vya ajabu kama kina zuchu, so mama utawashitaki wangapi, unajua mambo yanabadilika kwa kweli, zamani wanamziki hawakuwa wakivaa kama kina mashalove so tuangalie nyakati tulizonazo, wataacha kuvaa hivyo wakina mashalove lakini television zitakuwa zinarusha nyimbo ambazo zina watu waliovaa zaidi ya mashalove ninachotaka kusema mashalove ameathiri jamii kwa mavazi yake au kina zuchu kwa kiasi gani? Je hao wanaoonyesha wanamziki wa nje je hawajaathiri kizazi cha 2000.

Nimekaa na ndugu zangu wanawatoto na wanalelewa vzr yena kwa misingi ya Dini, so kila mzazi afanye jukumu lake. Mlee mtoto katika njia impasayo nae hataicha haya atakapokuwa mzee.

Unafanyakazi nzr sana na nakupenda ila pia kuna mahali pia pa kuangalia, au Mama yangu kama mnaweza kiwakusanya na kuwasikiliza kujua kwa nini wanafanya hivyo mtakuwa mmewasaidia wengine wanamachungu moyon na wengine wameshajikatia tamaa.
 
Hivi mashalove ni msanii naye

Ova
 
Zimamoto kazini.
 
Inshort wanaojiita wasanii sijui macelebrity wanaharibu jamii ya watanzania hasa watoto kimaadili...wapewe onyo kali...
Wasije wakanya nchi ikateketezwa kama sodoma na gomorah...
Kwani BASATA wenyewe wanasemaje kuhusu hao Wasanii!!??
 
Kuna juma lukole kamusahau huwaga anapost wanwake sijui wanatangaz biashara ya sindiria na chupi akitoka hapo awasiliane na basata aone ile video clip ya lava lava kapost uchi kabisa yule demu
 
Aanze na ambe rutty
G money
Na wengine wanao chez picha za uchi
Hapo nakuelewa wale wanaocheza picha za ngono ndio aanze nao ila Mashalove hajawahi cheza picha za ngono, kuna mahali huwa kuna baikoko wanacheza uchi na wanatia midole sehemu, sasa hao ndio wa kuanza nao
 
Aisee mimi huwa sisomi hivyo vitu wanavyoandika hao mabongo fleva.

Kwani kasemaje huyo masha love.
 
Piga kazi waziri. Kwenye hili la kuwashughulikia waharibifu nakuunga mkono.
 
Ile video ya wanafunzi wa Tabora nilikuomba kule mtandao wa X ukaninyima. Wewe umeomba link ya Masha love.

Ndivyo ilivyo ungenitumia Ile video ningepata uchungu sana wa kukemea. Awamu nyingine nifanyie wepesi tafadhari.
 
Dkt.

Tunaomba ukikutana na Mwigulu kwenye baraza umshauri akija Jamii Forum kuanzisha uzi awe anawajibu members kama ufanyavyo wewe.


Ana tabia anaanzisha uzi kisha anakimbia maswali ya members.


Mwambie asiogope maswali yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…