atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Huyu Lilian Mwasha ndio yule wa kuwekeza kwenye vibobo alipigwa ndani na Magu sababu biashara za ngada yeye na mumewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama una kitu utafika mbaliNi kitu kizuri kumfariji na kumtia moyo mtu, ila hapo si mahali sahihi. Kwa muktadha wa shuleni, wanafunzi wenzio wakijua matatizo yako wanaweza kuyatumia against you mambo yakazidi kuwa magumu kwa mhusika.
Nilipokuwa binti mdogo nilikua namuona Lilian kama mtu mwenye akili sana sababu anajua kuongea/present, baada ya akili zangu kukomaa nimekuja kugundua Lilian ni mpumbavu mmoja mwenye “Audacity” na guts za kudisplay upumbavu hadharani, sorry not sorry.
Bottom line: wanaume jitahidini kuwa kwenye maisha ya watoto mnaoshiriki kuwaleta duniani baada ya ile starehe, hakuna maumivu mabaya kama maumivu ya kukataliwa, ninyi tu mkikataliwa kwenye kutongoza mnakuwa na vinyongo wakati mwingine inakuwa vita kabisa, sembuse mtu aliyekataliwa na aliyemleta duniani? SMH! [emoji2358]
So sad 😢😢😢Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekana kama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa.
mama vipi kuhusu umber Luty kuwa mgeni rasmi huko temekeFaizaFoxy, Habari za asubuhi FaizaFoxy. Utanisamehe Sana kwa kuwa sijaja humu JF kukubaliana na kila jambo ambalo litakupendeza wewe.
Kwa upeo wangu huu huu, katika hili, diagnosis yangu ni kuwa, huyu Lilian Mwasha amekosea hiki alichofanya, hakifai. Na kwa upeo wangu huu huu sijalala hadi nikampata na kumwambia hapa umekosea na aondoe hizo video mitandao yake yote.
Na kwa huu upeo wangu, nimemwagiza kamishna wa ustawi amwite kwa hatua zaidi na kufika kwenye hiyo shule waliko hao waalimu na watoto kwa hatua zaidi na tamko litolewe la marufuku kuhusu Kila mtu kuingia kwa watoto na kutoa huduma aina hizi na zingine.
Na pia hatua zingine zaidi zichukuliwe kwa mujibu wa taratibu za ustawi. Haya, na wewe Sasa kwa kuwa unao upeo mkubwa kabisa, ongezea tufanye nini zaidi.
Ila acha chuki binafsi Ili twende sawa. Nakubariki, ubarikiwe [emoji1666][emoji120][emoji2969]
Tukikubali ovyo ovyo tu tutalea damu za masela wengine kirahisi sana.Ni kitu kizuri kumfariji na kumtia moyo mtu, ila hapo si mahali sahihi. Kwa muktadha wa shuleni, wanafunzi wenzio wakijua matatizo yako wanaweza kuyatumia against you mambo yakazidi kuwa magumu kwa mhusika.
Nilipokuwa binti mdogo nilikua namuona Lilian kama mtu mwenye akili sana sababu anajua kuongea/present, baada ya akili zangu kukomaa nimekuja kugundua Lilian ni mpumbavu mmoja mwenye “Audacity” na guts za kudisplay upumbavu hadharani, sorry not sorry.
Bottom line: wanaume jitahidini kuwa kwenye maisha ya watoto mnaoshiriki kuwaleta duniani baada ya ile starehe, hakuna maumivu mabaya kama maumivu ya kukataliwa, ninyi tu mkikataliwa kwenye kutongoza mnakuwa na vinyongo wakati mwingine inakuwa vita kabisa, sembuse mtu aliyekataliwa na aliyemleta duniani? SMH! [emoji2358]
[emoji419][emoji375]Hizi zote ni laana za uasherati na uzinzi, tatizo la ma singo mama hilo.
Mnaambiwa msimvulie mtu chupi mpaka awaoe hamtaki.
Shukrani napokea! ❤️Mama una kitu utafika mbali
Nipo siti ya mbeleYeye kwanza ni nani katika familia yangu mpaka aanze kuhoji. Aache mambo yaajabu. Sasa naona kajichanganya sana hapo na atajutia hili suala.
Maana hapo ajue Kuna ndoa zitavunjika kabisaaa! Kwa sababu wakinamama wengine wanapenda kuwaaminisha watoto wao kuwa baba yako hakupendi na Mimi ndie ninaye kuhudumia, hivyo baba yako sio lolote na wala sio chochote. Kumbe baba ndie anatoa matumizi yote Kwa mama ili mtoto/watoto waende shule. Sasa Kwa kisa hiki yataibuka mengi sana.
Chukulia wewe ni baba na umesikia mwanao anakulaumu na anasema humpendi na mambo mengi, wakati unamuhudumia mwanao vizuri Kwa kutoa mahitaji Kupitia Kwa mama yake, unadhani hapo kitatokea Nini? Jibu ni mvulugano na mama mtu.
Kalipata bwege moja hivi analiendesha atakavyo! Hawa madeni wanaharakati wengi ni malaya!Joyce kiria toka apate bwana sjamskia ....upwiru mbaya sana
Kuna Ile kijana anaenda shule, Dingi anampa mtoto vifaa vyote, afu anampa dogo 50k na kumwambia Sasa hivi Sina Hela, baada ya wiki Moja nitakutumia. Mama anamwita chumbani na kumpa 100k Wakati hizo 100k katoa Kwa Dingi.😂😂😂😂Na ukute dingi anatoa pesa lakin mama hasemi dogo anahisi mshua hamjali kwa lolote kumbe shida ni mama yake.
Ndo akina sisi hao.Najitahidi Sana kuwa Karibu na saiti yangu ya Jamii Ili nipate mawazo ya kujenga Ili kwa nafasi yangu sasa niongezee tofali kadhaa kwenye nyumba yetu ya maendeleo na ustawi wa jamii, Ili muda wangu ukiisha wengine waje waendelee maana wala sitakaa milele nilipo.
Lakini Sasa mhhhh, wako watu wamebeba silaha za hasira na chuki wazi wazi sijui wanagombana na nani na kwa Sababu gani. [emoji848].
Mimi huyu, ambaye nimejiunganisha na uwepo wa Mungu wa mbinguni, hakika hakuna silaha iliyojengwa kwa msingi wa uovu na chuki itakayotumwa kubomoa ari yangu ya kuchati na jamii maana ndiyo saiti yangu na mm, haipo.
Wao wa brand tu jinsi gani hekima yao imejengwa na sisi tuta brand jinsi gani hekima yetu imejengwa. Mungu siku moja atabariki sawa na mizania yake. Tusonge mbele....
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Wanaume hatuwezi kuepuka lawama, Huku kwenye jamii tunayaona mwanaume anazalisha mwanamke halafu anakimbia, matokeo yake mtoto anakuwa na chuki.Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekana kama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa.