Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Hawa jamaa wako njema sana kwa proganda, hali ni tofauti kabisa na mitandaoni na matamko yanayotoka.
Na kama hali ingekuwa mbaya kweli sidhani kama ziara za mikoani na press conference zingekuwa zinafanyika wakati huu.
Endelea na ujinga wako ukikupata ndio utajua ni wakuleta au upo. watu tumeshapoteza ndugu huku we unaleta ngojeraMwongo huyu mbona hatuoni kitu? Huku hata huo umbea hamna tunasikia tu kwenye mitandao, huu ugonjwa wa kuleta mnaukuza sana. Eti walipungikiwa mitungi? Aiseee siasa mbaya.
Kwamba hakuna maambukizi ya Corona? Kwamba hizi taarifa na wale wagonjwa hospitali ni wa kuigiza? Mama hana roho ya kutoa watu roho, JIWE alikuwa na roho ya damu, hakujali watu kufa.
Kanda ya ziwa na kilimanjaro ni sahihi kisarufi. Kilimanjaro haihusiani na neno kwanza, kanda. Ina maana ni kilimanjaro tu na si kanda yote ya kaskazini.Kanda a ziwa na Kilimanjaro, na si Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kaskazini?.
Waambie wako Watanzania kati ya hawa 60M miili yao ni hekalu la Holy Ghost. Wasije ichezea kwa hiyo chanjo yao wabayo iagiza. Mungu wa Mbinguni hata wacha salama awaangalie wakichezea mahekalu yake atawaharibu wao, 1 Wakorintho 3:16-17.
Hawa jamaa jicho ni kwenye hiyo pesa tu huku wakitengeneza panic kwa watu. Mimi naona kitaa tofauti kabisa japo wameshatuweza asilimia kubwa tuko kwenye barakoaViongozi wa ajabu sana unasaidia unao waongoza kujua jinsi ya kuogopa kifo. Kifo kinatisha kina ogofya Bwana Yesu amkiwa ameuvaa uanadami alitudhihirishia hilo. Ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke akatiririkwa na jasho kama damu" Halafu wako watu kucha kutwa wanatumia ngivu nyingi kuwafundisha wanao wsongoza kuogopa kifo. Kinacholengwa ni hizo 400M usd na misaada mingine basi.
Kijiografia wewe unaionaje!.tumia akili ndogo tu.usiwasumbue wana jf kwa vitu vidogo hvHivi Shinyanga iko kanda ya Ziwa au siku hizi imehamishiwa kanda ya Kati?
Hamna haja ya lockdown mkuu ni tahadhari tuu,ukizingatia kiukweli maziko yamekua mengi Kilimanjaro lakini sio kwamba vifo vyote vimetokea Kilimanjaro watu wanafia mikoani wanazikwa uchagani/nyumbani sasa huwezi kusema kuwe na lockdown ni lazma watu wachkue tahadhari maana ugonjwa unasambazwa na watu watokao nakuingia ,vyombo vya usalama viangazie vyombo vya usafirishaji,mikusanyiko,usafiDr. Gwajima basi wekeni lockdown huko kanda ya ziwa na kilimanjaro !
Waambie? Unakusudia nini? Au ni kumwambia waziri? Si ukamwambie wewe?
Kutosahau kuwa hii nchi haina dini kiungwana ni jambo la msingi sana.
Imani yako hata kama itakugharimu wewe kifo inawahusu nini wengine?
KabisaMtoto huwa anafuata msimamo wa aliyenaye kwa wakati huo, watoto huwa hawana msimamo lakini mtu mzima ukiwa huna msimamo tunaita unafiki.
Kijijini kwetu Hali si nzuri kabisa I'm so sacred kwa kweli na wengine wanatolewa Dar kwenda kuzikwa na mbaya hata Ile second stage ya corona mpuputiko ulikuwa mkubwa mno.Kijiji gani hicho na kiko mkoa gani mkuu?
Hawa jamaa jicho ni kwenye hiyo pesa tu huku wakitengeneza panic kwa watu. Mimi naona kitaa tofauti kabisa japo wameshatuweza asilimia kubwa tuko kwenye barakoa
π·π·π·π·π·π·π·π€£π€£π€£
Tunawatu humu wapo empty kabisa.ila kwenye mijadala wanajifanya kama wana PhD za kutoshaHahahaha,
Pamoja na kushinda jf bado haujui mikoa ya Kanda ya ziwa,
Aisee elimu inahitajika sana
π²Mwongo huyu mbona hatuoni kitu? Huku hata huo umbea hamna tunasikia tu kwenye mitandao, huu ugonjwa wa kuleta mnaukuza sana. Eti walipungikiwa mitungi? Aiseee siasa mbaya.
Kama hujui kaa kimyaSikia Chaggadema, mimi kwetu ni MARA.
Shinyanga siyo mkoa ulioko kanda ya ziwa.
Kanda ya ziwa ni Kagera, Mara, Mwanza na Geita.
Kwahiyo wewe unameza kila unachokiona humu JF?
Usalama wa afya ya mtu huanza na mwenyewe....unamuita mnafiki mtu anayejipapatua kujilinda mwenyewe ?!! Khaaa π²Barakoa ni wanafiki wachache wanao jipendekeza tena wengineni kwa shingo upande.
Ndio maana tunasubiri chanjo ije tunajua wa kwanza kuwalazimishia hiyo chanjo ni wa vyombo vya ulinzi na usalaama maana ni watii wa amri toka juu.
Inawahusu maana Mungu wa Mbinguni atawaharibu na kati ya wanao waongoza ni Watu wa Mungu wa Mbinguni na wa mrengo wa washetwani wako pia usisahau hilo. Nawatahadarisha hawalijui hilo pengine. Na Mungu wa Mbinguni akikuangamiza/akikuharibu yeye maana yake ni milele yote. Mpaka uishie jehanamu.
Watalamu wapi unao wazungumzia?... siasa ziliingia zika-braiwash watu wakadhani kwa kuwa kiongozi mkubwa kasema hakuna Corona basi ni kweli hakuna Corona. Sijui watanzania ujinga utatutoka lini tuweze kupima vitu kwa uhalisia wake na kuuona ukweli badala ya kusikiliza maneno ya wanaoitwa viongozi mengine yakiwa ya kilaghai. Ona sasa katuachia msala watu wamekuwa wajinga kabisa hata kuamini maelekezo ya wataaalamu imekuwa tatizo.
Mikoa ya kanda ya ziwa ni kagera,geita,mwanza,shinyanga,simiyu na Mara.Sikia Chaggadema, mimi kwetu ni MARA.
Shinyanga siyo mkoa ulioko kanda ya ziwa.
Kanda ya ziwa ni Kagera, Mara, Mwanza na Geita.
Kwahiyo wewe unameza kila unachokiona humu JF?