Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kwamba Corona haipo ?!Huyu ni mwehu kweli anaongea tu bila kutaja kijiji wala wilaya husika ili tupime kama ayasemayo ni kweli au ndio propaganda zile zile na kupiga kelele huku hali ni tofauti kabisa. Tunatishana tu wenyewe kwa kukuza mambo.
Wewe yawezekana hupo sawasawa. Sifahamu huko Kilimanjaro. Lakini huku Knda ya Ziwa, hali siyo nzuri. Wanaoumwa ni wengi sana ukilinganisha na idadi ndogo waliolazwa. Lakini vifo vinavyotokana na corona vipo.Mwongo huyu mbona hatuoni kitu? Huku hata huo umbea hamna tunasikia tu kwenye mitandao, huu ugonjwa wa kuleta mnaukuza sana. Eti walipungikiwa mitungi? Aiseee siasa mbaya.
NYeye aliwaambia kuwa Corona haipo imeletwa na mabeberu na watu wameacha kuchukua tahadhari na sikuhizi hawanawi ila watu wengi wamekufa Sana na ya Sasa ni mbaya kuliko janauri imagine kijijini kwa siku wanaweza zikwa watu hata watano, nadhani wizara ya afya na yenyewe imelala haichukua hatua nzuri ka ummy alivoweza kuhamasisha
Hata ukijilinda mwenyewe kama hamna juhudi za wengine ni kumpoteza mda tu maana watu wanakusanyika daladala zimejaa kuliko kawaidaUshauri huu wa mh. Waziri japo umechelewa mno, unatuhusu sana:
“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."
SEMA ukweli wakoUonco
N
Upo wilaya ipi kiongozi?Huko Kilimanjaro watu wanapuputika kweli, Bora serikali ilete tu hizo chanjo maana Hali si nzuri na watu hawachukui tahadhari ka kipindi coronavirus ilivoingia
Basi usiokote masala yasiyokuwapo. Moja ya masuala yasiyokuwapo ni "Freemasonry."
Au nasema uongo ndugu yangu?
Askari huenda vitani na SILAHA ZA KILA NAMNA....
Sasa ndugu huyu anazikataa CHANJO ,tena hata wasichomwe MANESI NA MADAKTARI WETU walio mstari wa mbele kututibu tukiwa na hali tete ya UVIKO....duuh😲
Hata ukijilinda mwenyewe kama hamna juhudi za wengine ni kumpoteza mda tu maana watu wanakusanyika daladala zimejaa kuliko kawaida
Kwa hamu kubwa tunaisubiria CHANJO ya CORONA...
Hapa tuko wananchi 7....
Hakusema uongo 'Credible Leader' alikufa akiwa anayasimamia aliyo amini.
Wamesubiri mpaka watu wanapukutika ndiyo wanaleta tahadhari.Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi:
“Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima."
Mwenye masikio na asikie:
“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."
--------
My take:
Tahadhari zaidi maeneo hayo ikiwamo kupunguza safari zinazoweza kuepukika, kutoka au kwenda maeneo hayo ni jambo la busara zaidi.
Nenda bugando ukajioneeMwongo huyu mbona hatuoni kitu? Huku hata huo umbea hamna tunasikia tu kwenye mitandao, huu ugonjwa wa kuleta mnaukuza sana. Eti walipungikiwa mitungi? Aiseee siasa mbaya.
Hayo sina hakika unayasoma wapi kwenye niliyoandika popote pale. Hata hivyo tambua kuwa:
Kufa unayoyasimamia hakuna maana hasa kama ni ya kijinga:
View attachment 1852586
Anasema mtumishi wa Mungu:
Nadharia iliyoshiba kuhusu vifo na wendazao
Mabibi na mabwana zimekuwapo nadharia nyingi na zingine nyepesi nyepesi kuhusiana na vifo na wendazao. Mtumishi huyu wa Mungu katika udadavuzi wake kwa hakika ana hoja za msingi: Kwamba pana vifo vya aina 4: 1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa) 2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa kwenye...www.jamiiforums.com
Muogope Mungu, punguza uwongo, hata hivyo wewe ni mtu mzima sasaYeye aliwaambia kuwa Corona haipo imeletwa na mabeberu na watu wameacha kuchukua tahadhari na sikuhizi hawanawi ila watu wengi wamekufa Sana na ya Sasa ni mbaya kuliko janauri imagine kijijini kwa siku wanaweza zikwa watu hata watano, nadhani wizara ya afya na yenyewe imelala haichukua hatua nzuri ka ummy alivoweza kuhamasisha
Hivi we malaya unataka mamako afe kwanza ndio ujue. Nina group flani hivi la huko kili ndani ya siku mbili kuna misiba 12 imetokea.Wamekufa sana wapi? Wangapi? Weka takwimu.
Halafu ni lini watu hawakuwahi kufa sana?
Uliwapima hao marehemu ukawakuta na corona?
Unabisha kwa fact zipi?Hao watu wanaodondoka sana ni wangapi?
Kwa ugonjwa gani? Lini? Wapi? Saa ngapi? Umejuaje?
We ni mchawi au nabii?
Kamejiunga humu juni 28 2021. Hakana hata mwezi haka kashoga
Nasikitika kukwambia mkuu uko brainwashed vibaya sana,,sijui kama kuna jinsi ya kukusaidiaSalama na Kumtukuza Mungu wa Mbinguni kwa uhai wangu anaoendelea kunikirimia na nimepiga chai na mihogo ya kulima mnyewe.