#COVID19 Waziri Gwajima Kiboko! Ni Mwanamke wa Shoka… Amuita mtu ‘Kibwetere’. Unamjua huyo Kibwetere ni nani na Wakoje naye?

#COVID19 Waziri Gwajima Kiboko! Ni Mwanamke wa Shoka… Amuita mtu ‘Kibwetere’. Unamjua huyo Kibwetere ni nani na Wakoje naye?

IMG-20210727-WA0006.jpg
 
Wanabodi,

Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.

Msikilize Waziri Gwajima

Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.

Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.

Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"

P

Upumbavu na upuuzi umetamalaki Tanzania.
 
Dr. Gwajima hajajibu hoja “nzito” za Askofu Gwajima.

Sanasana alichoreveal bila kujua ni kwamba amekiri kwamba Wizara haijafanya tafiti yoyote zaidi ya kugoogle tu walichoandika wazungu na kuruhusu kiwe shared kwenye www world. Na sasa anashauri na sisi tukasearch google!
 
Kwahiyo kwa mujibu wa Gwajima rais,CDF,mjane jokate,Kamanda Sirro wote wanashiriki majaribio ya chanjo
 
Back
Top Bottom