Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Kwakweli hilo sekeseke sio la kumisi!Jumapili Hii Nawahi Church Kwa Gwaji~Boy (Gwaji~Uno)
Jirani Na Speaker Kusikia Ccm Inavyopasuka Vipande Vipande 😂😁
Upumbavu na upuuzi umetamalaki Tanzania.Wanabodi,
Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.
Msikilize Waziri Gwajima
Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.
Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.
Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"
P
Issue itaenda kumalizwa kifamilia zaidiItakuja scene ya 'gwajima's kickboxers blood sport'
Gwajima (ME) hatokubali
Huenda kamtuma afanye drama? Au wamepishana kwa hili?Askofu Rashid ambae ni shemeji yake
Eti kwa kumwita shemeji au Gwajima mwenzie KibwetereMada hii imekaa kishabiki haswaa, sasa hapo uanamke wa shoka upo wapi
Ila kwenye ile video pendwa yake alituabisha mabaharia eti uno mbili tu chaliiiiKibwetere yupo vizuri...
Pascal anazidi kupotea, anahitaji msaada sijui nini mbaya, hao ni wanasiasa wakikutana nyumbani wanacheka maisha yanaendeleaEti kwa kumwita shemeji au Gwajima mwenzie Kibwetere
Hivi kwa nini modern kinjekitile & modern kibwetere wote wanatoka kabila moja tu la sukuma gangNdugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"
P
Hana huo uwezo wa kujibu hiyo jumapili. Chama na serikali vimemuweka Kwenye nyuzi 90. Ajaribu aoneDr.Gwajima (Kibwetere wa Kawe) VS Dr. Gwajima (msanii wa Dom).
Muamuzi ni dk. 90.
Jumapili patachimbika.
Gwajima yupi sasa?Gwajima hawezi kukubali huu mbagazo lazima ajibu mapigo
Kwahiyo kwa mujibu wa Gwajima rais,CDF,mjane jokate,Kamanda Sirro wote wanashiriki majaribio ya chanjoDr. Gwajima hajajibu hoja “nzito” za Askofu Gwajima.
Sanasana alichoreveal bila kujua ni kwamba amekiri kwamba Wizara haijafanya tafiti yoyote zaidi ya kugoogle tu walichoandika wazungu na kuruhusu kiwe shared kwenye www world. Na sasa anashauri na sisi tukasearch google!