Lazima atajibu. Jamaa kashapata wafuasi wa kutosha mitandaoni.Hana huo uwezo wa kujibu hiyo jumapili. Chama na serikali vimemuweka Kwenye nyuzi 90. Ajaribu aone
Nimeona twiter kaomba radhiKibwetere si yule nabii fake pale kawe.
Sawa ngoja tusubiri.Lazima atajibu. Jamaa kashapata wafuasi wa kutosha mitandaoni.
Atapiga kuanzia Mwenyekiti, Lusekelo mzee wa Upako, Shaka na shemeji yako.
Gwajiboy anasema yeye ndio mrithi wa JPM ndani ya CCM.
Bora ajisalimishe mapemaNimeona twiter kaomba radhi
Ni majaribio ndio. That’s why hata hao walioziproduce bado hawaelewi kwanini mtu aliyechanjwa bado anaambukizwa covid na kufa kabisaKwahiyo kwa mujibu wa Gwajima rais,CDF,mjane jokate,Kamanda Sirro wote wanashiriki majaribio ya chanjo
Nani kaomba radhi?Nimeona twiter kaomba radhi
Hii nchi kila mtu anaweza drama..
Huhitaji kufatilia series yeyote
Hii nchi kila mtu anaweza drama..
Huhitaji kufatilia series yeyote
Tutolee kelele hapa.Kwani kuchanjwa ni lazima....?, Mbona kama mnatulazimisha hivi..?
Akitukana waliochanja maana yake atakuwa amemtukana Rais, jaji mkuu, waziri mkuu, mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi, mkuu wa tiss, mkuu wake wa mkoa na wilaya, mkiti na msemaji wa chama chake, mkuu wa uhamiaji na magereza, viongozi wote wa dini kubwa tz! Ni mtu smart vya kutosha, j2 ataufyataHana huo uwezo wa kujibu hiyo jumapili. Chama na serikali vimemuweka Kwenye nyuzi 90. Ajaribu aone
Tuwaombee watajwa hapo juu safari kama ile ya march 17Ni majaribio ndio. That’s why hata hao walioziproduce bado hawaelewi kwanini mtu aliyechanjwa bado anaambukizwa covid na kufa kabisa
Ndo maanakeAkitukana waliochanja maana yake atakuwa amemtukana Rais, jaji mkuu, waziri mkuu, mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi, mkuu wa tiss, mkuu wake wa mkoa na wilaya, mkiti na msemaji wa chama chake, mkuu wa uhamiaji na magereza, viongozi wote wa dini kubwa tz! Ni mtu smart vya kutosha, j2 ataufyata