Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Kaka Pascal.Wanabodi,
Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.
Msikilize Waziri Gwajima
Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.
Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.
Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"
P
Ahahaha olamanya oteniela kyomaNaashekanakabasheka babababa ... natema cheche za moto!
😅
NB: Kila kwenye Pwagu kuna Pwagushi!
Huyu mama nimemtoa kasoro, yaani punguani kabisa,nilikuwa namkubali sana mwanzoni kumbe mwendawazimu.Maigizo ya kijinga kabisa haya.
Teh teh teh...😂😂😂😂...haya maneno yamenivunja mbavu..haaa haaa.haaaa...🤣🤣Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"
Wanabodi,
Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.
Msikilize Waziri Gwajima
Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.
Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.
Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"
P
Kibwetere yupo vizuri...
Acha ushabiki boss! Kama ni mifano mibaya, iko kibao kwa wanasiasa. Utajisikiaje rais akilinganishwa na tawala zilizoteketeza watu?Wanabodi,
Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.
Msikilize Waziri Gwajima
Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.
Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.
Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"
P
😀 😀 😀 😀Kibwetere si yule nabii fake pale kawe.
Ha ha ha umeona eeh.PASCAL MAYALLA JIMBO LA KAWE LINAKUUMA SANA. MPAKA UMEBAKI KUANDIKA UDAKU.😂😂😂😂
Ha ha ha umeona eehPASCAL MAYALLA JIMBO LA KAWE LINAKUUMA SANA. MPAKA UMEBAKI KUANDIKA UDAKU.😂😂😂😂
😀 😀 Ngoja huyo anayemuita kibwetere amkwapulie taulo lake ndio atafurahia show.Wanabodi,
Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.
Msikilize Waziri Gwajima
Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.
Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.
Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"
P
Ktk mawaziri wajinga huyu Gwajima ni wa kwanza.Wanabodi,
Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!.
Msikilize Waziri Gwajima
Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?.
Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri Gwajima ni mwanamke wa shoka kweli.
Hongera sana Waziri Gwajima, wewe ni mwanamke wa shoka!.
"Ndugu Kibwetere wetu, tunakuomba usiwaponze Watanzania wenzetu, kama wale wafuasi wa Kibwetere yule!"
P
Mkuu P ninamjua huyo anayeitwa Kibwetere na nishemeji yake ,lakini hata mimi nina mashska na waziri wetu wa afya maana yule wa Magufuli ninamuona tofauti na wa SamiaWanabodi,