BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Unahitimisha lakini hujui story iliyoko behindHuko sio kupiga ni kautaka kuua hapo nguvu aliyotumia utafikir alikuwa anapigana na mwanamke mwenzake wanayelingana.
Ila sishangai wanawake wengi wenye miili kama hiyo Huwa wanakuwaga na roho mbaya, makatili pia ni single mothers.
Maisha yanabadilika, enzi sisi tunachezea kichapo ni kama kina baba na mama walikua wanaambizana walee vipi.Kweli nyakati zimebadilika wakati tunakuwa tumechezea kichapo kweli ingekuwa wakati zama hizi kumbe wazazi walikuwa wanaenda selo
Angemchapa tu na viadhabu vya kitoto sio kumrushia makonde na mateke.Mara zote wazazi wa namna hii Huwa hawako sawa kichwani.
Lakini kipigo hasa fimbo nilazima sio ombi.
Ni kweli kabisaMi leo nimekubali kuwa mambo yanabadilika wazazi wa zamani walikuwa wanapiga aisee lakini ukifanya tathmini sio kwamba walikuwa hawatupendi ni kutufanya tuwe bora.
Tulikuwa tunapigwa lakini mahitaji yote muhimu yalikuwa yakipatikana kwa wakati.
Wewe ndio baba wa mtoto mkuu?Unahitimisha lakini hujui story iliyoko behind
Au japo kumkataza mama asiendelee kumuadhibu mtotoSasa huyo mchukua video anashindwaje kuripoti tukio hilo?!
Shida inaweza ikawepo,ila inatakiwa wasiende kwa pupa.Wadadisi ni nini hasa kinamfanya mama amwadhibu mwanae vikali hivyo.Sasa Kwan Kuna shida gan hapo? Mbona ameadhibiwa Kawaida sana ? Yaan sku hizi taifa la kiherere sana !!! Wakiachwa mnaanza kua malezi mabaya Aya wakiadhibiwa umbeya Tena!!
Mi na mtoto najua malezi yalivyoWewe ndio baba wa mtoto mkuu?
Kwa kweli Karne ya 20 ilikuwa ni shida tupu hakuna Smartphone, Tv za kuhesaba, ndio kipindi AIDS inafanya unyama wake kimsingi tumshukuru mungu kwa uhai na kushuhudia Aya mabadiliko katika Kila nyanjaShida inaweza ikawepo,ila inatakiwa wasiende kwa pupa.Wadadisi ni nini hasa kinamfanya mama amwadhibu mwanae vikali hivyo.
Kama kweli kuna kosa sugu kafanya,ni sahihi tu maana wengine unajua tumekua kwa vipigo vikali ni basi tu Mungu alikua upande wetu hatujapata majeraha ya kudumu enzi zetu karne ya 20😂
Mbona wanapenda kuzaaWazazi wetu swala malezi linawasumbua wao wanaamini katika vipigo tu.
So sad bravo
Tukiangalia kila kosa kwa staili hii hata wauaji tuwaachia huruUnakuta huyo mama ni single mother anaishi na huyo mtoto Baba hajulikani alipo.
Mama anakamatwa anakwenda jela, malezi ya mtoto inakuaje huku nyuma? Nimejiuliza tu.
Kama mtoto hasikii na ni mtukutu, dawa siyo kusimika mfumo wa kumpiga, ni kwenda kliniki ya ustawi wa jamii ya marekebisho ya tabia. Ahsante kwa swali zuriIpi ni njia mbadala ya kumrekebisha mtoto anapokosea?
And life goes on 😉Kuna single mothers wengi tu wanajiweza na wanalea watoto bila tabu.
Katungeni sheria ya kuwanyang'anya watoto wazazi wa aina hii. Sijui kama hiyo sheria ipo!Kama mtoto hasikii na ni mtukutu, dawa siyo kusimika mfumo wa kumpiga, ni kwenda kliniki ya ustawi wa jamii ya marekebisho ya tabia. Ahsante kwa swali zuri
Vizuri lakini ni vyema mkatupa muongozo wa hicho kinachofanyika ustawi wa jamii kurekebisha tabia ili tuweze kuwarekebisha watoto wetu maana ni sisi tunaokuwa nao nyumbani tena kwa muda mrefu mpaka wanapoanza kujitambuaKama mtoto hasikii na ni mtukutu, dawa siyo kusimika mfumo wa kumpiga, ni kwenda kliniki ya ustawi wa jamii ya marekebisho ya tabia. Ahsante kwa swali zuri
mtoto nani atamlea??Katungeni sheria ya kuwanyang'anya watoto wazazi wa aina hii. Sijui kama hiyo sheria ipo!
Mzazi mlevi, katili na anayelea mtoto katika mazingira hatarishi anyang'anywe mtoto ikiwa ni pamoja na hatua za jinai kuchukuliwa dhidi yake.
Huyu anaweza kukamatwa halafu akatoka sijui huko jela akaendeleza ubabe wake!
Kwanza atafungwa kweli huyu?? na maukatili yake yote haya!
Hii ni nchi sio GETO.mtoto nani atamlea??
Na wewe kuna mtu anakuita baba? Yalaaaah!!Vizuri lakini ni vyema mkatupa muongozo wa hicho kinachofanyika ustawi wa jamii kurekebisha tabia ili tuweze kuwarekebisha watoto wetu maana ni sisi tunaokuwa nao nyumbani tena kwa muda mrefu mpaka wanapoanza kujitambua