Waziri Gwajima kukomesha ukatili baada ya video ya Mama akimshambulia mtoto kusambaa

Mental illness ni uhalisia. Kulikuwa na shemeji yangu alikuwa anampiga mtoto hibyo hivyo tena kila siku.

Hatukumuachia kumbe alikuwa na shida kichwani. Hata huyo ana shida kichwani sio bure.
Menta illness ni tatizo kubwa miongoni mwa jamii yetu na linachukuliwa poa tu
 
Mimi nilishataka kuua mtu sababu ya uxenge kama huu, yaan unapiga mtoto kama unaua nyoka?!! Aisee nilipiga haijawahi kutokea, nilikuwa nauwa kabisa.., hadi leo hagusi watoto..
 
yeye ndiyo waziri halafu anaomba msaada? Kwa nani?

Waziri wa matukio huyo, atafika ha[o mara moja utafikiri jini limeitwa lakini ubunoifu wa kuzuia hayo mambo kabla hayajatokea hana kabisa.
 
Afrika mtoto hapendwi.
An illogical take. Africa sio mtoto hapendwi. Bali wazazi masikini Africa hawawezi wala hawajui kulea mtoto. Mostly sababu umasikini uhusiana na akili pungufu. Au low IQ. Na vice-versa.

Hakuna mzazi mwenye uwezo anatreat mtoto wake kama hivi.
 
Kweli Mimi kipigo Kama cha huyo mtoto nimechezea Sana na kuzidi.

Sasa zama zile kungekuwepo smartphone za kurekodi wazazi wetu wangeenda jela

Vipigo vilikuwa ni hasira zilizochanganikana na umasikini
Kama ulifanyiwa ukatili tukupe pole, ila huwezi kuhalalisha ukatili kuwa sahihi kisa ulikatiliwa.., narudia, pole sana.
 
Sijaona kipigo cha kutisha hapo.

Ila kwakuwa ni mara kwa mara, hapo shida ndipo huanzia maana psychology ya mtoto inaharibika. Ingekuwa mara moja moja hapo si ishu sana.
 
An illogical take. Africa sio mtoto hapendwi. Bali wazazi masikini Africa hawawezi wala hawajui kulea mtoto. Mostly sababu umasikini uhusiana na akili pungufu. Au low IQ. Na vice-versa.

Hakuna mzazi mwenye uwezo anatreat mtoto wake kama hivi.
Afrika mtoto hapendwi chief, kuanzia shule mtoto anapata Copral punishment halafu anashinda siku nzima bila kula huko shuleni. Unaposema low IQ ya wazazi ndiyo sababu unamaanisha hiyo inawafanya wasionekane kwamba watoto hawapendwi?
 
Uzuri wa shangazi huwa yuko chapu kinoma huyo kashashugulikiwa ondoa shaka
Nisingetandikwa enzi zangu…. Misin geliş hapa nilipo

Mh waziri haya mengine angeyaacha tu

Kuweka sera madhubuti ni nzuri zaidi kwake
 
Hapana , nimeona umeharamisha
Hapa mkuu .

Mimi ni Balozi wa Amani wa kujiteua napinga Sana ukatili hata kipindi nimewahi kufundisha nilikuwa nawaambia walimu watumie Njia za kawaida za kumjenga mtoto bila viboko
 
Wazazi wetu swala malezi linawasumbua wao wanaamini katika vipigo tu.

So sad bravo
Nilimpiga mwanangu miaka 11 iliyopita tangia hapo sijawahi,nikikumbuka naumia sana,sasa hata mama yao alikuwa anatabia Za kuwapiga nilimwambia marufuku,tangu hapo wakiwa likizo wakisumbua ananipigia simu naongea nao wanaelewa
 
Miafrika ni minyani kbs, hilo lililokuwa linarekodi video lilishindwa vp kuingilia kati..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…