Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Habarini za asubuhi wote. Mm nimefuatilia humu hizi hoja naona kama wore tunataka kudhibiti mmomonyoko wa maadili ila Kila mtu ana njia yake. Ila nashukuru kwanza Kila mmoja anakiri kuna mmomonyoko wa maadili.Leta hoja mkuu, kivipi kiduku kinaleta mmomonyoko wa maadili, tuweke hisia pembeni na kuangalia mzizi wa tatizo. Usiniambie vijana wamejiingiza kwenye wizi na matendo mengine maovu kisa mtu kanyoa kiduku au kavaa jinzi. Ili kumaliza vitendo hivyo ni muhimu kujua tatizo limeanzia wapi na sio kutupia lawama kwenye vitu ambavyo ni rahisi kuwa midomoni mwa watu na kukwepa kuwajibika
Sasa nirudi kwenye point moja: hivi mfano, kupanda kwa joto la mwili ni dalili tu ya tatizo fulani la kiafya. Na mara nyingi magonjwa mbalimbali husababisha kupanda kwa joto. Sasa twende tukamtibu mgonjwa Sasa mfano. Hivi dalili au tabia za huo ugonjwa ambazo ni labda joto kupanda, kuishiwa nguvu, kuishiwa maji mwilini maumivu nk tutazinyima dawa za kutuliza siyo hadi tusubiri huko maabara waje na majibu waseme nini hasa hiki? [emoji1]
Haya mjadala safi kabisa njooni tuelimishane kwa nn mara ingine wakati unasubiri C ni unajikuta unaanza na A na mwisho unafanya majumuisho.
Ila tunapochangia mawazo ya kila mmoja na yaheshimiwe tusiende na spirit ya I want to outshine someone.... [emoji3060]
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app