Jafo, wapime wakurugenzi kwa wingi wa kura walizoiba kwenye uchafuzi mkuu.Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.
Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.
Kwa ile pressure ya uchaguzi huo ushuru wangekusanya saa ngapi?
Naomba niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Wamesimamia wizi wa kura,sasa muda wao wa kulipwa fadhila ndio huuTunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.
Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.
Kwa ile pressure ya uchaguzi huo ushuru wangekusanya saa ngapi?
Naomba niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Huo ni utetezi usio na mashiko. Kwa hiyo kipindi cha uchaguzi mapato yalikuwa hayakusanywi? Hivi mnafahamu makusanyo yanayopatikana hayaendi kwenye mfuko wa serikali? Mnawajua vizuri hawa wakurugenzi?Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.
Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.
Kwa ile pressure ya uchaguzi huo ushuru wangekusanya saa ngapi?
Naomba niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Siwahurumii hata kidogo hawa wakurugenzi acha wafutwe maana waliharibu sn uchaguzi kwa kuipendelea CCM, acha dhambi yao iwatafune vizuriTunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.
Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.
Kwa ile pressure ya uchaguzi huo ushuru wangekusanya saa ngapi?
Naomba niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Acha wavune dhambi zao waliharibu sn uchaguziHakika, shetani hana rafiki.
Jukumu la ukusanyaji wa mapato kwenye Halmashauri ni la Halmashauri husika, so since Mkurugenzi ndio mtendaji mkuu wa shughuli hizo amekasimiwa madaraka ya ukusanyaji mapato moja kwa moja na yeye amekasimu madaraka hayo kwa idara zake ambazo kwa mujibu wa vyanzo nya mapato vilivyopo kwenye halmashauri idara hizo hukusanya moja kwa moja.Kumbe wakurugenzi personally ndo huwa wanakusanya ushuru? Mi nilikuwa sijui hilo, nilikuwa nadhani wao ni wasimamizi!
Ama kweli: If you didn't know, now you know!
Na zile fedha zinazokusanywa na DPP zinaingia kwa Mkurugenzi mwenye eneo husika,au zinaingia kwenye mfuko wa bwana Jiwe?Wewe humuoni kamishna wa TRA anavyopita madukani kusaka kodi?
Kuna wakati hata waziri wa fedha hutimba kitaa kukagua.
Kusimamia ni pamoja na kufuatilia wewe mwenyewe hii ni awamu ya 5 bwashee usiishi kwa kukariri!
Kwahiyo hatuna umuhimu wa kuwa na viongozi BasiKama watu/wasomi wetu hamuwezi kujisimamia wenyewe kwa majukumu mliyokabidhiwa, mnasubiri mpaka mkurugenzi awepo kuwasimamia ndipo mambo yaende, basi tuna moral issue kubwa sana [emoji25][emoji22][emoji22]
Walisimamia uchaguzi kwa muda gani?Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.
Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.
Kwa ile pressure ya uchaguzi huo ushuru wangekusanya saa ngapi?
Naomba niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Yaani MATAGA ni kama MALAYER.Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.
Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.
Kwa ile pressure ya uchaguzi huo ushuru wangekusanya saa ngapi?
Naomba niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Kura zilikamatwa zikuwa kwenye Sandarusi jimbo la kawe. HakuibaMdee kaiba nini hapo Ufipa?