Waziri Jaffo hao Wakurugenzi walikuwa wanasimamia uchaguzi, huo ushuru wangekusanya muda gani? Usiwafute kazi tafadhali!

Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.

Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.

Kwa ile pressure ya uchaguzi huo ushuru wangekusanya saa ngapi?

Naomba niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Jafo, wapime wakurugenzi kwa wingi wa kura walizoiba kwenye uchafuzi mkuu.
 
Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.

Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.

Kwa ile pressure ya uchaguzi huo ushuru wangekusanya saa ngapi?

Naomba niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Wamesimamia wizi wa kura,sasa muda wao wa kulipwa fadhila ndio huu
 
Kama walikuwa wanavuka malengo wengine 120% sasa hiyo 50% kitu gani? Unataka serikali ishindwe kujiendesha? Mi naona wangeongeza hadi angalau 70%.
 
Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.

Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.

Kwa ile pressure ya uchaguzi huo ushuru wangekusanya saa ngapi?

Naomba niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Huo ni utetezi usio na mashiko. Kwa hiyo kipindi cha uchaguzi mapato yalikuwa hayakusanywi? Hivi mnafahamu makusanyo yanayopatikana hayaendi kwenye mfuko wa serikali? Mnawajua vizuri hawa wakurugenzi?
 
Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.

Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.

Kwa ile pressure ya uchaguzi huo ushuru wangekusanya saa ngapi?

Naomba niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Siwahurumii hata kidogo hawa wakurugenzi acha wafutwe maana waliharibu sn uchaguzi kwa kuipendelea CCM, acha dhambi yao iwatafune vizuri
 
Toilet paper lol. Poleeee zao.
Haya Kumekucha sasa.
 
Huu uchaguzi haukuwa na presha yoyote, presha ilikuwa kupata kura za wajumbe baaaasi?
 
Kumbe wakurugenzi personally ndo huwa wanakusanya ushuru? Mi nilikuwa sijui hilo, nilikuwa nadhani wao ni wasimamizi!
Ama kweli: If you didn't know, now you know!
Jukumu la ukusanyaji wa mapato kwenye Halmashauri ni la Halmashauri husika, so since Mkurugenzi ndio mtendaji mkuu wa shughuli hizo amekasimiwa madaraka ya ukusanyaji mapato moja kwa moja na yeye amekasimu madaraka hayo kwa idara zake ambazo kwa mujibu wa vyanzo nya mapato vilivyopo kwenye halmashauri idara hizo hukusanya moja kwa moja.
Mfano; Kama kwenye eneo la Halmashauri kuna mnada wa mifugo basi idara ya Kilimo na mifugo itakusanya mapato hayo na kisa kuchukua bill kwenye idara ya fedha na kuingiza kiasi walichokusanya bank na hivyo hivyo kwa idara nyingine. Kiungo hapo inakuwa idara ya fedha.
Kwamaana hiyo sasa Mkurugenzi ndio mtoa taarifa kwenye vikao vya kamati ya fedha akiwasilisha makusanyo ya idara zote kwa kila mwezi.
 
Wewe humuoni kamishna wa TRA anavyopita madukani kusaka kodi?

Kuna wakati hata waziri wa fedha hutimba kitaa kukagua.

Kusimamia ni pamoja na kufuatilia wewe mwenyewe hii ni awamu ya 5 bwashee usiishi kwa kukariri!
Na zile fedha zinazokusanywa na DPP zinaingia kwa Mkurugenzi mwenye eneo husika,au zinaingia kwenye mfuko wa bwana Jiwe?
 
Kama watu/wasomi wetu hamuwezi kujisimamia wenyewe kwa majukumu mliyokabidhiwa, mnasubiri mpaka mkurugenzi awepo kuwasimamia ndipo mambo yaende, basi tuna moral issue kubwa sana [emoji25][emoji22][emoji22]
Kwahiyo hatuna umuhimu wa kuwa na viongozi Basi

Jafo kwa nafasi yake alichokifanya ni ku stimulate utendaji juu yake Kuna rais ambaye huwenda ndiyo kahimiza hilo mkurugenzi atakaa na watendaji wake na kuwahimiza kufikia lengo la waziri
Sasa kauli zilizotolewa na zitakazo tolewa sio sawa na kama wangekaa kimya
Watu lazima waongozwe bila kujali wana elimu gani
 
Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.

Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.

Kwa ile pressure ya uchaguzi huo ushuru wangekusanya saa ngapi?

Naomba niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Walisimamia uchaguzi kwa muda gani?
 
Yaani MATAGA ni kama MALAYER.

Unanunuliwa bia siku moja unaliwa mzigo!!

*Halafu SSM anakuja kukumbushia bia ulizokunywa mwaka juzi na anakula mzigo!

*Yaani unakumbushiwa bia, unaliwa mzigo!

*Unajua kabisa unadanganywa, lakini unatoa uchi.....

*Unatoa uchi sababu nyie ni malayer
 
Back
Top Bottom