Unachosema ni kweli mkuu ila kwakua ni chuo cha umma Serikali inawajibu wa kufuatilia pia ili kama ni uzembe wa uongozi wa chuo watu wawajibishwe, na kama shida ni serikali ifanye hima kuimarisha vyuo vyake kabla ya kuja na plan ambazo hazito-work out kiuhalisia, maana kama mwalimu tu halipwi miezi 6 hadi mwaka watoto wetu si ndio wataenda kuwaua na njaa wakisema wanawafadhili?Sawa mkuu, umeandika kwa hisia na mantiki sana. Hongera.
Lakini mkuu, nadhani lingekuwa ni jambo la busara sana kama tungeweza kumpata kiongozi yeyote kutoka katika chuo cha DIT ili na yeye aweze kutoa ufafanuzi juu ya "kilio" hiki cha baadhi ya walimu.
Leo pia akiwa arusha ameahidi ndege za mizigo hahahaaaa... Mitano tenaTaasisi zimekumbwa na uhaba wa watumishi nafikiri kutokana na tumbua tumbua ya vyeti feki, hata pesa ya kuendesha hizo taasisi ikiwemo kuwapa hata nauli wale wanaojitolea imekuwa mtihani, ngoja tuwape tano nyingine waendelee kuagiza ndege kwa cash..
Hizi ndege tulizo nazo zinafanya kazi to capacity kweli?Leo pia akiwa arusha ameahidi ndege za mizigo hahahaaaa... Mitano tena
Wachache ndo tutakao kuelewaWewe ni mwalimu part-time hapo DIT, pole sana... serikali sikivu inanunua ma'V-80' ya Chakubanga kwanza.
Asante mkuu japo mi si part time ila mdau wa karibu, pia haibadili maana ya ukweli kwamba alichokiaddress waziri Jaffo hakiwezekani katika mazingira ya leo yanayofanana na DITWewe ni mwalimu part-time hapo DIT, pole sana... serikali sikivu inanunua ma'V-80' ya Chakubanga kwanza.
Asante mkuu japo mi si part time ila mdau wa karibu, pia haibadili maana ya ukweli kwamba alichokiaddress waziri Jaffo hakiwezekani katika mazingira ya leo yanayofanana na DIT
Mkuu wasomi wetu hasa hawa wenye Ph.D ni changamoto sana wao wakishapata vyeti wanajua wamemaliza wanabaki kuvimba maofisini kuangalia maslahi yao, bora hata veta kuliko DIT maana veta wanafanya mambo makubwa yenye impact kwa jamiiChuo kama DIT kinatakiwa kiwe na kampuni kila nyanja, vkiwe center of innovation and technogy transfer.Kifanye research zatakazo zalisha inventions ambazo kitaingia mikataba na makampuni na kujipatia pesa. Hivi DIT waishindwaje kuishawishi serikali ( magufuli) kupewa tenda ya bwawa la umeme na Reli ya kati (SGR) Tunaambiwa vinajengwa kwa hela ya ndani.
Vipi SUMA JKT waweze kujenga stand nzuri DOM wakati jiko ka mainjinia lumesinzia ! Inaonesha viongozi wa tasisi zetu wamesinzia wanahitaji kuamshwa.Tumekuwa tuki ilaumu serikali na ccm, imefika muda tuanze kuwalaumu na kuwashinikiza viongozi was taasisi mbalimbali kwani wamekosa ubunifu kwa kweli, wamekuwa ni sehemu ya tatizo badala ya solution
Soma mada uilewe this is jf home of great thinkers. Kama ni too big to comprehend unapita tu ili ujitunzie heshima
Kwa hiyo mkuu ningeongelea vyuo vyote....halafu point yangu ingekua wapi.Wala sijamsikiliza Jafo, ila kwa mujibu wa bandiko lako umesema “kapendekeza 'vyuo' viwe na namna ya kuwafadhili wanafunzi wanaofanya vizuri”... kama yeye kaongelea vyuo vyote iweje wewe malalamiko na hitimisho lako iwe based on mapungufu ya DIT pekee!
Kama sijakuelewa labda, ila kama nimekuelewa basi hitimisho lako sio sahihi.
I rest my case, cheers [emoji1635].
Mkuu mbona viingozi hawajitegemei, Huyo jafo gari kapewa bure anatembelea, nyumba bure, umeme bure,vocha bure, chakula bure,dereva bure.Usiwaonee watoto wakatiHuu ni muendelezo wa kutaka vya bure kwa jamii
Jamii inazoeleshwa upumbavu wa ajabu sana...
Chuo cha Umma from nowhere kichague tu mwanadamu mmojawapo eti sababu kapata 100% apewe elimu ya bure as if wananchi wengine wote milioni 60 nchi hii wanaopeleka hela DIT kwa kodi zao wao hawana haki ya kupewa vya bure sababu tu kwenye mtihani hawakupata namba inayojulikana kama 100%?
Ni hivi,kila mwanadamu anawajibu wa kujisomesha,kujilisha,na kujilaza yeye kama yeye na sio mzigo wa yeyote yule awaye yote maana kama ni hivyo basi inakua ni legalized stealing ya jasho halali la wengine wakupe wewe sababu tu ulipataga 100% kwenye mtihani..
Kodi yangu ikitolewa ukapewa wewe mimi nilietoa nitafaidika na nini chako?Labda uje unirudishie with interest,nobody cares what you have in your brain...what you have in your brain is yours not mine,and it is there to help you survive,sio jukumu langu kukupa jasho langu wewe...
Serikali inapotumia resources zetu kuwapa baadhi ya wananchi kwa upendeleo wanao uona wao kwenye bongo zao ni ukuda sana
Kila mtu ajitegemee
Kwa hiyo mkuu ningeongelea vyuo vyote....halafu point yangu ingekua wapi.