Waziri Jaffo kama DIT wanashindwa kulipa walimu wataweza ufadhili wa wanafunzi?

Waziri Jaffo kama DIT wanashindwa kulipa walimu wataweza ufadhili wa wanafunzi?

Na we ni mmoja wao? Maana umeandika ukiwa unayajua kwa undani sana
Mi sio mmoja wao ila ndugu yangu wa karibu ni mhanga mpaka akashindwa kulipa rent akarudi namhost maana kalenda wanazopigwa anaonekana mjanjamjanja tu wakati ni chuo cha serikali kabisa
 
Hahahaha! Ndugu hilo gawio ( 10% ya walichokusanya kwa mwaka) ipo kwa mujibu sa Sheria hivyo itabidi wapeleke tu.
Hatukatai, ila kwanini hawataki kulipa mishahara kama huo uwezo wanao
 
Mkuu mbona viingozi hawajitegemei, Huyo jafo gari kapewa bure anatembelea, nyumba bure, umeme bure,vocha bure, chakula bure,dereva bure.Usiwaonee watoto wakati
Kuna watu wazima wanapewa vya bure.Ndio mfumo wa dunia tulioukuta watu wa zamani waliona ni busara wachache kupata vya bure wengine mtoe jasho na ni ngumu kuubadirisha huu mfumo unafnya kazi dunia nzima.Tumeaminishwa viongozi wanatusaidia kumbe sisi raia ndio tunawasaidia kwa hio pigana mkuu Siku moja uwe kiongozi upaate vya bure.
Si ndo maana anataka wanafunzi nao wapewe bure bila kujali vyuo masikini kama hicho cha DIT
 
Mkuu Jafo hatumii mali zetu bure!

Elewa hilo..

Jafo tumempa kazi ya kufanya na ku-make decisions on our behalf,tumempa compensations zote hizo kutufanyia kazi hiyo.

Unaposema Jafo tunampa compensations zote hizo bure unakosea,si kweli!

Tusiwaonee watoto gani?

Kwanini upendelee watoto fulani unawaaacha wengine?

Kama ni watoto toa kwa wote,sio unatoa upendeleo sababu eti huyo mtoto kapata alama 100% which has nothing to do with us,ni mali yake sio sisi...

Shida ni pesa ya umma inayowahusu watu milioni 60,sasa wewe kuchukua mtoto mmojawapo na kukata hela ya hawa watu na kumpa huyo mtoto ni stealing...

Toeni hizo hela mifukoni mwenu mumpe huyo mtoto...

Jukumu la kumlipia elimu yake ni la yeye na wazazi wake na sio jukumu la watu milioni 60 wa hii nchi....

Huwezi confiscate jasho la raia wema milioni 60 umpe mtoto mmoja kisa wewe umemuonea huruma huyo mtoto....kama mumemuonea huruma sana go to your own pockets and fit the bill.

Hii socialism ndio shida....mnataka vitu vya bure kwa kuchukua hela za wengine.....

Kwa hoja zako za kuonea watoto huruma,kwa the same reason kwanini usitoe chakula kwa kila nyumba yenye njaa Tanzania?Wanakufa kwa njaa leo kwanini usitoe hizo hela ukawasaidia?

Kama hoja ni hiyo basi nchi kila mtu asaidiwe maana sababu ulizotumia kumpa huyo mtoto ada basi na wananchi wengine wana haki hiyo the same way...

Mnapangia matumizi hela zisizo zenu,pangieni zenu......
Aanze na hela zake hahahaaa
 
Unajaribu kupotosha kwa maksudi sijui kwa maslahi ya nani, hata sasa wapo wanafunzi wanasoma kwa udhamini wa bure... mfano ni madaktari na non refundable grants!

Acha hao, hata shule zenye ushindani kielimu mfano FEZA Schools husomesha ‘bure’ watoto wenye kukidhi sifa fulani... sifa hizo ni pamoja na ufaulu mzuri.

Njoo kwenye zile "scholarships", baadhi hulipiwa kila kitu... acha wivu mkuu.
Muulize Ph.D ni wangapi duniani wanasoma kwa hela zao bila ufadhili...akikujibu nitag
 
Back
Top Bottom