Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,962
Hela ya kuwadhamini inatoka wapi?
Na watoto wa wananchi wengine nani awadhamini?
Chuo hakina hela zake binafsi kutoa misaada ya udhamini kwa wanadamu....chuo hakizalishi pesa,ni educational institution,sio money making machine to spend
Hela wanapata kutoka serikalini,ni hela ya wananchi...huwezi chukua hela ya watu milioni 60 umpe mtu mmoja kwa faida yake...
Yeye kupata 100% darasani ni kwa faida yake na wanae..yeye kua na akili nyingi kwenye ubongo wake ni kwa ajili yake..na ni mali yake kwa faida yake yeye kwanza..na kila mwanadamu mwingine yeyote ana akili zake kwa ajili yake
Unajaribu kupotosha kwa maksudi sijui kwa maslahi ya nani, hata sasa wapo wanafunzi wanasoma kwa udhamini wa bure... mfano ni madaktari na non refundable grants!
Acha hao, hata shule zenye ushindani kielimu mfano FEZA Schools husomesha ‘bure’ watoto wenye kukidhi sifa fulani... sifa hizo ni pamoja na ufaulu mzuri.
Njoo kwenye zile "scholarships", baadhi hulipiwa kila kitu... acha wivu mkuu.