Waziri Jaffo kama DIT wanashindwa kulipa walimu wataweza ufadhili wa wanafunzi?

Na we ni mmoja wao? Maana umeandika ukiwa unayajua kwa undani sana
Mi sio mmoja wao ila ndugu yangu wa karibu ni mhanga mpaka akashindwa kulipa rent akarudi namhost maana kalenda wanazopigwa anaonekana mjanjamjanja tu wakati ni chuo cha serikali kabisa
 
Hahahaha! Ndugu hilo gawio ( 10% ya walichokusanya kwa mwaka) ipo kwa mujibu sa Sheria hivyo itabidi wapeleke tu.
Hatukatai, ila kwanini hawataki kulipa mishahara kama huo uwezo wanao
 
Si ndo maana anataka wanafunzi nao wapewe bure bila kujali vyuo masikini kama hicho cha DIT
 
Aanze na hela zake hahahaaa
 
Muulize Ph.D ni wangapi duniani wanasoma kwa hela zao bila ufadhili...akikujibu nitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…